HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Waafrika wanaangamia kwa kukosa wa kuwasimamia.
Yaani mtu anatoka huko kijijini, anafika mjini masikini, ghafla tu anaweza kutenda miujiza na kuongea na Mungu. Je, huko kijijini alishindwa nini?
Serikali zinawaangalia tu masikini wanaibiwa na kutapeliwa kuwa wanaponywa na kutajirishwa. Kwani wasiponye wagonjwa mahospitalini? Hawana imani kivipi wewe, nabii, uliyonayo?
Ni vyema manabii, wachungaji, n.k., wakishindwa kuthibitisha hiyo miujiza yao, wakishindwa kuthibitisha, basi washitakiwe, ikiwezekana wafungwe au wapigwe faini.