Ifikie wakati Nissan Dualis na moto wamalize tofauti zao

Ifikie wakati Nissan Dualis na moto wamalize tofauti zao

Hizi gari tunashindwa namna ya kuishi nazo kwanini Huko zlikotoka haziunguwi Moto?
Wengi wanafunga radio za android,taa za booster,betri fake pamoja na wiring za mafundi wa uchochoroni
Kuna watu wanasema zirudishwe Japan. Gar ya 2008-2012 wakati hata uzalishaji ulishasitishwa! Kimsingi zilizoko sokon ni used tu.
Cha muhimu tuache kufanya hizi after Market modification. Kama unataka kufanye hizo mambo tafuta gari lingine
 
Barabara zetu pia ni chanzo cha matatizo, mashimo, rasta, unakuta kuna waya kubwa za moto zinagusana na bodi unatokea moto.
 
Hizi gari ukiweka tu android radio kwa mafundi kanjanja lazima likukute jambo, ndomana kuna fundi humu kashauri kuwa hizi gari we badilisha tyre na rim tu mambo ya umeme hachana nayo
Uko sahihi.

Haya magari yanaungua sababu ya kubadilishwa radio na kuwekwa za android kwa mafundi wenye upeo mdogo wa ufungaji.

Kwanza nawashangaa watanzania wanaobadilisha radio, gari imekuja na radio nzuri sijui ni ushamba wanatoa radio iliyokuja nayo wanaweka za Android, alafu unakuta ni android iliyotengenezwa kwa kiwango cha chini, najiuliza wimbo wa video utauangalia saa nagapi wakati unaendesha gari.
 
Mimi najiuliza swali moja. Gari zinazofanyiwa modifications ni nyingi hadi zingine wanabadili engine na control box wanafunga za gari zingine. Mbona haziungui moto? Yaan dualis kubadilishwa bulb tu ndio iwake moto?
 
Kuna kesi za Moto zipo Tanesco wakienda kukagua wanakuta wireling imefungwa na fundi Juma.. hana usajili hawalipi kitu..

hata hiyo utakuta service imefanyiwa mwembeni and imewaka baada ya kubadilishwa bulbs za kichina
 
Fanya tafiti kwa nini EXTRAIL na ukubwa wake kwa nini inauzwa Bei rahisi sokoni?
1724609364576.png
 
Hizi gari tunashindwa namna ya kuishi nazo kwanini Huko zlikotoka haziunguwi Moto?
Wengi wanafunga radio za android,taa za booster,betri fake pamoja na wiring za mafundi wa uchochoroni
We nae ebu acha ubish bhn…
Hiyo migari mibovu, km ni modification zipo dualis hazijafanyiwa modification kabisa na zimewaka moto….

Hata last recall ya 2012 ukudeep dive on web waliyarudisha kwa sababu y fault hizo hizo za mfumo wa umeme…
 
Ni hitilafu, hilo linaweza kutokea kwenye gari yeyote bila kujali kampuni ni ya aina gani, unless tupewe takwimu zisizoacha mashaka zinazoonesha gari kampuni flani linaongoza kwa visa vya kuwaka moto zaidi
Hv huwa mnabisha kwa faida gani labda….
Mm nimeona hiyo case y duals kuungua moto kenya huko so hapa tz n marejeo tuu…

Gari za nissan n vimeo sn nitakuletea link hapa… hao mafund wa bong mnawacngizia tuu, kwanza bongo y leo sio km ile ya miaka hiyoooo
 
Mimi najiuliza swali moja. Gari zinazofanyiwa modifications ni nyingi hadi zingine wanabadili engine na control box wanafunga za gari zingine. Mbona haziungui moto? Yaan dualis kubadilishwa bulb tu ndio iwake moto?
Wafund wa bongo tunawaonea tuu…

Madogo wapo vzur sn, hayo ma mazda wanayachezea km uyoga na hayashiki moto
Dualis jaka roho
 
Wengi wanafunga radio za android,taa za booster,betri fake pamoja na wiring za mafundi wa uchochoroni
Uko sahihi.

Haya magari yanaungua sababu ya kubadilishwa radio na kuwekwa za android kwa mafundi wenye upeo mdogo wa ufungaji.

Kwamba gari zingine hazifungwi radio za aftermarket na taa za booster?

Mbona hatusikii magari mengine kuwaka moto ?
 
Back
Top Bottom