Ifikie wakati Nissan Dualis na moto wamalize tofauti zao

Hizi gari ukiweka tu android radio kwa mafundi kanjanja lazima likukute jambo, ndomana kuna fundi humu kashauri kuwa hizi gari we badilisha tyre na rim tu mambo ya umeme hachana nayo
Mbona gari zingine zinabadilishwa android radio na hao hao mafundi lakin hatusikii case zake kuwaka moto?

What's so special with Dualis?
 
Je Nini husababisha Moto huo?..nna boss wangu Ana dualis huu ni mwaka wa nne..na sijasikia imewaka moto japo haendagi masafa ya mbali
 
Kwamba gari zingine hazifungwi radio za aftermarket na taa za booster?

Mbona hatusikii magari mengine kuwaka moto ?
We chizi kweli.

Soma maelezo yangu kama unayo akili tiimamu utanielewa.
 
Kinacho sababisha moto haswa ni lile litambala ambalo lipo kwenye bones kwa nyuma likipigwa pressure wakat wa kuosha gari hua lina legea na kulalia kwenye exhaust manford na hapo likiwa limelalia pale huapata joto na kuanza kuwaka,, so unashauliwa kutoa lile Timbala au usipige pressure wakat unaosha gari kwenye lile tambala,,,, case sorved
 
Hii ndo sababu fundi mmoja wa Nissan alinipa. Hilo tambaa/cover ikipigwa presha kwa wale wanaoosha engine inalegea na kulalia manfold. Na kama umavyojua gari ikioata moto wa kutoaha na manfold inashikaga moto balaa, so linawaka chap
 
Yaah dualis gar nzur sana Sema watu hawana uelewa nazo kuna mtu anayo namba B mpaka leo ipo
 
Hadi namba A zipo mkuu, hao ambao zao zinawaka waulizwe vizuri
Screenshot_20240712_211223_Kupatana.jpg
 
Kwahiyo unataka kusema sisi wavuta sigara tuachane kutembea na viberiti na badala yake popote tuionapo Nissan Dualis tujue tutawasha sigara zetu!!
 
Back
Top Bottom