PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Kuna watu wanasema zirudishwe Japan. Gar ya 2008-2012 wakati hata uzalishaji ulishasitishwa! Kimsingi zilizoko sokon ni used tu.Hizi gari tunashindwa namna ya kuishi nazo kwanini Huko zlikotoka haziunguwi Moto?
Wengi wanafunga radio za android,taa za booster,betri fake pamoja na wiring za mafundi wa uchochoroni
Uko sahihi.Hizi gari ukiweka tu android radio kwa mafundi kanjanja lazima likukute jambo, ndomana kuna fundi humu kashauri kuwa hizi gari we badilisha tyre na rim tu mambo ya umeme hachana nayo
😃😃😃😃Umenikumbusha nissan presea yangu miaka ya 2000, hakuna rangi nilacha kuona, nikaja kuliuza kwa bei ya kutupa kwa msela flan naye aliishia kulipaki hadi leo.
Kitaalamu sana hii sikujuaBarabara zetu pia ni chanzo cha matatizo, mashimo, rasta, unakuta kuna waya kubwa za moto zinagusana na bodi unatokea moto.
Aisee! Nimecheka kama jambo zuri vile.Wako kimya kama K-VANT fake zimejaa mitaani tu zimewashinda ndio wataweza vyombo vya moto
Fanya tafiti kwa nini EXTRAIL na ukubwa wake kwa nini inauzwa Bei rahisi sokoni?
Kama huna utayari wa kuwekeza hela kulipa vifaa vyake litakuwa tatizo kubwa yesKifupi kwa Tanzania ukinunua gari aina yoyote ya NISAN tumenunua matatizo
AiseeMjapan hapa alitudanganya
We nae ebu acha ubish bhn…Hizi gari tunashindwa namna ya kuishi nazo kwanini Huko zlikotoka haziunguwi Moto?
Wengi wanafunga radio za android,taa za booster,betri fake pamoja na wiring za mafundi wa uchochoroni
Hv huwa mnabisha kwa faida gani labda….Ni hitilafu, hilo linaweza kutokea kwenye gari yeyote bila kujali kampuni ni ya aina gani, unless tupewe takwimu zisizoacha mashaka zinazoonesha gari kampuni flani linaongoza kwa visa vya kuwaka moto zaidi
Wafund wa bongo tunawaonea tuu…Mimi najiuliza swali moja. Gari zinazofanyiwa modifications ni nyingi hadi zingine wanabadili engine na control box wanafunga za gari zingine. Mbona haziungui moto? Yaan dualis kubadilishwa bulb tu ndio iwake moto?
Wengi wanafunga radio za android,taa za booster,betri fake pamoja na wiring za mafundi wa uchochoroni
Uko sahihi.
Haya magari yanaungua sababu ya kubadilishwa radio na kuwekwa za android kwa mafundi wenye upeo mdogo wa ufungaji.