Mbona gari zingine zinabadilishwa android radio na hao hao mafundi lakin hatusikii case zake kuwaka moto?Hizi gari ukiweka tu android radio kwa mafundi kanjanja lazima likukute jambo, ndomana kuna fundi humu kashauri kuwa hizi gari we badilisha tyre na rim tu mambo ya umeme hachana nayo
We chizi kweli.Kwamba gari zingine hazifungwi radio za aftermarket na taa za booster?
Mbona hatusikii magari mengine kuwaka moto ?
Hii ndo sababu fundi mmoja wa Nissan alinipa. Hilo tambaa/cover ikipigwa presha kwa wale wanaoosha engine inalegea na kulalia manfold. Na kama umavyojua gari ikioata moto wa kutoaha na manfold inashikaga moto balaa, so linawaka chapKinacho sababisha moto haswa ni lile litambala ambalo lipo kwenye bones kwa nyuma likipigwa pressure wakat wa kuosha gari hua lina legea na kulalia kwenye exhaust manford na hapo likiwa limelalia pale huapata joto na kuanza kuwaka,, so unashauliwa kutoa lile Timbala au usipige pressure wakat unaosha gari kwenye lile tambala,,,, case sorved
Yaah dualis gar nzur sana Sema watu hawana uelewa nazo kuna mtu anayo namba B mpaka leo ipoHii ndo sababu fundi mmoja wa Nissan alinipa. Hilo tambaa/cover ikipigwa presha kwa wale wanaoosha engine inalegea na kulalia manfold. Na kama umavyojua gari ikioata moto wa kutoaha na manfold inashikaga moto balaa, so linawaka chap
Hadi namba A zipo mkuu, hao ambao zao zinawaka waulizwe vizuriYaah dualis gar nzur sana Sema watu hawana uelewa nazo kuna mtu anayo namba B mpaka leo ipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi kusikia Dualis ziungue mikoa mingine zaidi ya Dar na mbeya
Huku mikoani zimejaa wala hata haziungui.