IFM wana matatizo gani? Wanafunzi watatu wa kiume wamejirekodi picha mbaya!

IFM wana matatizo gani? Wanafunzi watatu wa kiume wamejirekodi picha mbaya!

Licha ya kuwa mimi ni muangalia porno maarufu lakin Katika kitu ambacho sijawahi kufanya wala kuwa na ujasiri nacho ni kuangalia video za mwanaume anamkunja mwanaume mwenzake hiyo ni laana mbaya sana.
Kuangalia porn sio laana ila kuangalia porn za Gays ndio laana,

Unafki utawaingiza sana Motoni Watanzania.
 
dah nimetoka kuziona mda huu..hakika hii ni zaidi ya sodoma na gomora

imagine hawa wanakua marafiki wa watoto zako wa kiume[emoji17], kwa style hii wanaume tutazidi kubaki wachache sanaa
Ntumie pm mzee

Ova
 
Huyo dogo wako ana matatizo, kwasababu ifm pale hairuhusiwi kusuka, tena kuna dress code kabisa pale
Hayo mambo mnayoyaona mitaani ni utashi wa hao wanafunzi wenyewe ila chuo kina taratibu zake kabisa, hiyo kusuka hairuhusiwi kwenye dress code za chuo
Ni kweli kiongoz wa chuo Ifm.
 
Madhara ya picha za ngono,usambaza pepo la ushoga Ili kuharibu kizazi
 
Mbona wengine wanasema sio wa IFM wwngine wanasema wafanyakazi wa bank sijui mwanza uko mambo ni mengi wengine wanasema yule ambaye mpaka anasimamia ukucha ni msanii mambo ni mengi ndio maana jua kali sana kwa sisi wenye vipara sasa
 
🤣🤣🤣wame mbaini !!!
ahhhhh sio poa 😂😂😂

tatizo mimi huwa naingia kiuvivu sana na nimefollow watu wachache ndio maana navijua vitu juu juu. maskini utoo 😂😂
 
mwanaume unaomba video wenzako wanavyopakuana ili uone nini sasa?
lengo la kurekodi ndio ilo wote tuone.
Siwezi kuangalia wanaume wanapakuana...
Wakirekodi wanauza kwa kuapload kwenye porn websites na wavuta mkwanja na wanalipia mapato. TRA kwani wanasenaje?
 
kuna haja ya kuanzisha ant-gay operation, tunaleta mzaha lakini tutakuja kukwama mahala na kila mtu atajikuta huko...

serikali ianze kusisitiza ukakamavu kwenye mitaala ya shule, mashuleni kuwe na mchakamchaka asubuhi, mboko zianze kama vietnam vile, mtaani kupitia mabalozi kuanze kuwa na mabaraza ya vijana chini ya wazee wa kimila vijana wafundishwe maana ya uanamume na akina mama wafundishwe nafasi yao pia...

Leo tunaweza kucheka maana sio watoto wetu wale au ndugu zetu wale, lakini tukumbuke ile ni jamii na ule ujinga unakizuizi utaenea taratibu ukija kuibuka tayari uko nyumbani kwako...TUSIMAME WOTE TUPAZE SAUTI..
 
kuna haja ya kuanzisha ant-gay operation, tunaleta mzaha lakini tutakuja kukwama mahala na kila mtu atajikuta huko...
Mkoja ya comment niliyokua naisubir maana kipindi ambacho tupo haya mambo si mapya tena chamuhimu ni kuzungumza na watoto wetu haya mambo ya kufichaficha madhara yake ni makubwa sana......Yesu tusaidie
 
Back
Top Bottom