joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wanaharakati aka Mashangazi Wapuuzi wa taifa, wamelivalia njuga swala la mabinti waliopata mimba kurudi mashuleni hatimaye wakafanikiwa na kuna siku wote niliwasikia wakiwaunga mkono mashoga.
Sito shangaa siku wakianzisha vuguvugu la kuwasupport hawa mashoga.Wanaharakati wetu wana support vitu vya kipuuzi hata hili nalo ni swala la muda, ila wataanza kulipush mda si mrefu
Ila kwa maono yangu baada ya miaka mitatu, ushoga utakuwa ni kitu cha kawaida sana kwani mpaka sasa kuna baadhi ya maeneo mashoga wanajiachia mfano Magomeni, M/Nyamala, Kinondoni Manyanya, Studio, Mkwajuni nk clubs na mabaa wanajiachia sana tena na wengine wakiwa wamevaa nguo za kike. NGO ,wanaharakati wetu na mashangazi ndipo wana tupeleka huko.
Hawa vijana na waonea huruma wao na wazazi wao,tumuombe Mungu sana atuepushe na dhambi hii na tutimize wajibu wetu katika kuwalea na kuwa fuatilia watoto wetu ili tuokoe vizazi vyetu.