Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Hivi ni nani anawapoteza?. Tamaa ya pesaDah kuna dogo yupo pale mwaka jana alianza kusuka, mama mzazi inasemekana akawa anahisi kashapoteza.....
Ila ulimwengu huu umekuwa uwanja wa vita sanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni nani anawapoteza?. Tamaa ya pesaDah kuna dogo yupo pale mwaka jana alianza kusuka, mama mzazi inasemekana akawa anahisi kashapoteza.....
Ila ulimwengu huu umekuwa uwanja wa vita sanaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo dogo amekunja miguu katika namna ambayo ni wanawake wachache wanaweza kuikunja wengine utasikia wanasema wanaumia.
Hebu nione mkuu. PmDah nimetoka kuziona mda huu. Hakika hii ni zaidi ya sodoma na gomora
Imagine hawa wanakua marafiki wa watoto zako wa kiume[emoji17], kwa style hii wanaume tutazidi kubaki wachache sanaa
Ni taasisi sawa lakin Kwann wasiitwe Chuo Moja kwa mojaKwani Chuo sio taasisi?
Una mtoto?...unategemea kuzaa?Watajua wenyewe na wazazi wao![emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]vinyeo vyao,shauri zao!
hahaha, naona umekata tamaavinyeo vyao
Kweli dunia imeisha. Hawa vijana wa 2000's wamekuja kivyao. Wanaume wataisha wote. Sasa kama hawa vijana jamani,dunia inakwenda kasi sana. Tatizo nini hasa?Mi nilizicheki hivo video nikahisi kama napatwa na maseke kichwani nikaanza kuona wenge nikazifuta vijana wenyewe hawa hapa wanapakuwana vibaya vibaya.Ishu ni kwamba wote wametoka mikoani ila sifa mbaya zinalikumba jiji la dar.View attachment 2023415
Nna watoto ,nimezaa nna wadogo zangu...Una mtoto?...unategemea kuzaa?
Una wadogo zako??
Km huna vyote hivyo na hutegemei kuwa navyo basi hongera kwako...utakua umesalimika wewe na vizazi vyako....
Ushoga uko sehemu yeyote, ko huna Pa kukimbilia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajifunza jambo haraka. Mfano mimi mtoto wangu yuko kidato cha 4. Mamaake anasema akimaliza 6 ataendelea na chuo. Mimi namwambia akimaliza 4 naenda naenda kupiga mishe za biashara. Sasa hizo mfano ukimuonyesha tu anabadiri msimamo hapo hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shos plz achan nae huyo,Nna watoto ,nimezaa nna wadogo zangu...
Sasa unataka tusemeje?kama hata tukikemea tunaonekana haters..
Wao hawajui wanachofanya kua sio kuzuri....!!!au vitu vingine kama kelele zinapigwa saaana mbona hawaachi ndo wanazidi?pingeni
Yaani kupanga kuchangua..naomba Mungu atunusuru juu hilo!siupendi nauchukia lakini sina namna..namna zaid ya kuangalia tu hali ilivyo..
Kama vipi tokeni hadharani kupinga tuwaone hapa kwa keyboard tushasema sanaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na Wa tz wamejaa mule mule.Hao madogo watakuwa wametumwa na january makamba watupoteze kwenye inshu ya umeme[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unavujisha mtihaniUtopolo shetani kaamua kuharibu hali ya hewa.
Bila codes majibu awatopatia
Hiihh kitu sahii imesambaa Sana wakuu.. kuna kipindi nikiwa nimemaliza chuo kuna jamaa kutoka wizara moja aliomba nimpelekee Moto[emoji23][emoji23][emoji23].. aisee mpaka nilijuta kumpa namba yani, anajibebisha kuliko hata mwanamke.Mmeona mikanda ya video ya vijana wa IFM walojirekodi? Ukisikia sodoma ndio hii sasa hiki chuo kina matatizo gani?
Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi?
Tena kinachosikitisha ni wanaume watupu yaani sijui ndo mashoga wale jamaa watatu
Hicho chuo kina matatizo gani? Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi?
Shida unampeleka moto afu naye angeomba akupeleke moto wengine mchicha mwiba...Hiihh kitu sahii imesambaa Sana wakuu.. kuna kipindi nikiwa nimemaliza chuo kuna jamaa kutoka wizara moja aliomba nimpelekee Moto[emoji23][emoji23][emoji23].. aisee mpaka nilijuta kumpa namba yani, anajibebisha kuliko hata mwanamke.
Nilimuuliza imekuaje hataki Kula watoto wakali wakali wakati Yuko na mpunga na BMW kalii.. akasema hana hamu nao kabisa yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliniahidi kunipa shavu ofisi moja kama ningemla yani.. ilibidi nifanye Ku screen shot text na namba yake Nika upload Google for future use..
Katika harakati zake nilimuuliza ameanzaje akaniambia alijufunza alivyoenda kusoma nnje ya nchi huko hosteli kwao yani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida unampeleka moto afu naye angeomba akupeleke moto wengine mchicha mwiba...