"IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?

Mtu anaulizwa pungufu la mkataba yeye anataja faida zake utamuelewa huyo? [emoji23]
 
Mimi nina maswali kwa kaka yangu Pascal Mayalla;

1. YEYE NI MWANASHERIA WA UPANDE UPI KATI YA PANDE ALIZOZITAJA?

2. Mwenzetu amewai itwa na bunge, achilia mbali kulitazama luningani. Alipoitwa, aliliona ni bunge la namna gani? La vilaza au la wajanja?

Ngali
 
Huja soma makala ya Pascal ukaielewa. Rudia kuisoma tena.
 
Si umtaje tu Tulia Akson...mbona unaogopa!??
 
Hapa nimemsoma pasco, nimeona rula imenyooka. Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe. Hata kama huko nyuma alikosea ila kwa hili andiko, kautendea haki uzalendo wake.
Tukija kwenye mada, tatizo ni kile kiti cha juu. kimeshikilia kila kona. sasa huku chini wakijua jambo limeanzia pale, wanaingiwa na hofu ya kupinga, hata kushauri ni woga, wanabaki ndio, ndio na kutetea ndio zao. Mtu anaona akitia mkono kivingine atakwenda na maji.
Pia sa100 mwenyewe kasababisha hili kwa kitendo cha kumtundika msalabani Ndugai na kuja front kutamba, kuwa:nikihisi upo kinyume changu nakutema.. (afadhali angesema, 'nikikuona')
Hii kauli ndio ilioharibu/paralise mifumo yote ya utendaji kwenye mihimili yote. Matokeo ndio haya.
 
Narudia tena... Mdogo mdogo tu utarud kweny akili yako kama mwanzo!!! NB; Unguli wa sheria ndan ya mfumo hauna tija, kikubwa ni namna gan upate madili tu!!!
 
Kaweka hoja mezani

Succinctly…. Changia hoja Acha kuhangaika na teuzi

Unafiki utakuua
 
binafsi nimegundua viongozi wetu ni Vilaza waliotukuka sana , ndio maana nchi ina mkwamo wa maendeleo sababu kubwa tumeongozwa na watu wenye uwezo mdogo kiakili miaka mingi tu toka uhuru,
Harafu mbeleni, utasikia mtu kama Nape anachukua fomu za kugombea urais, na akapewa. any way ni haki yake au mfumo ni ovyo. ila akiteuliwa mtu kama ampendae mleta mada kule kisiwani Mwinyi aje kurithi kiti cha sa100, harafu Mwinyi akamteua Nape awe mgombea mwenza! Haya mie nayaona yaweza tokea
 
Sametimes kumbe akili huwa zinakurudia!
 
Watanzagiza mtakuja kufanikiwa siku mkiondokana na msemo
“raisi anadanganywa …”
raisi yoyote wa Tanzania hadanganywi hata siku moja huo msemo mnamsafisha moja kwa moja mhusika mkuu na kumpa go ahead ya kuzidi kuwadharau na kuwakebehi na kuwadhalilisha …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…