Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Why on earth would somebody ignore someone else. Mimi haiingii kichwani.
Acha mtu abwabwaje wewe usisome au kula mute mambo zake.
Mtu huyo unaemu ignore anaweza siku akaweka vitu hapa vikakusaidia. Unaweza ukauliza kitu hapa kikakusaidia wewe au jamaa zako.
Binadamu (mods pia wamo) tunafikiria sana tatizo.
I'm logging off.
 
Si ndio lichama lako...! Umri mdogo unajihusisha na misukule[emoji6]
Tubarikiwe sote mtumishi, ilΓ  kwa umri huu sijawahi kuwa na chama, ninasapoti mazuri na kukemea maovu, haijalishi yanatoka upande gani. Unataka kusema na mimi ni Lumumba buku7 au Ufipa buku10 mtumishi?
 

Chakusikitisha unaweza ukawa una ignore watu ambao washaku ignore muda mrefu [emoji28],unakwama wapi !
 
Umeandika vizuri sana mkuu Kaveli.
 
Kwa matukio niliyonayo member watakaonibakisha nafikiri hawatazidi watano ukiwemo na wewe mamy love..[emoji6]
Kumbe una matukio mabaya basi nakuongoza sala ya toba maana nakupenda sitaki uharibikiwe hata kidogo.
 
Nmeamini JF tuna wakina magufuli wengi sana... Hatupendi mawazo tofauti na yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…