✓Brother Maxence Melo naomba mfanyie kazi threads kutoka kwa wakati mfano mtu upo online unafatilia kupata habari unakuja kuta habari imewekwa kama saa moja au mbili yaliyopita. Kama kungekuwa na notification ya Threads mpya ingekuwa nzuriNaamini hata yeye USSR anajua nimemtumia tu kutolea mfano
Duhu wamekwishaHahaha Maxence Melo sio mjinga, amegonga mule mule kwenye zao la lumumba.
Kwanza sikujua kama ni marufuku kuleta convo za pm, nishawahi kwenda pm mara mbili tu za yule mzee wa Switzerland. Nilijua si sawa kwenye uzi ule, kwahiyo unasema 'nilitaka kuharibu' uzi wake? Uzi ulopita alidai kazalisha wanawake watano na hana mpango nao, uzi ulofata akadai kaasili watoto wawili na hajaoa.Wewe jamaa sio ndio ulileta Conversation za pm uliyotolewa maneno ya hovyo baada ya kutaka kuharibu uzi wa member mmoja nimemsahau jina akitaka ushauri wa watoto alioasili? Bado unaona umestarrabika na wewe?
Kuwa makini ndugu yangu Maxence Melo, wewe ni mtu mkubwa sana, mwaka wa uchaguzi huuuuNitakushtua nikiwa mitaa hiyo mkuu wangu
Wewe nini ilikuwa mbaya kwako pale? Mkuu kwenye hizi ID fake usitake kuwa unagombana na keyboard Kama jambo halikuhusu na halina madhara kwako na kwa wengine achana nalo ....huo ndio ustarabuKwanza sikujua kama ni marufuku kuleta convo za pm, nishawahi kwenda pm mara mbili tu za yule mzee wa Switzerland. Nilijua si sawa kwenye uzi ule, kwahiyo unasema 'nilitaka kuharibu' uzi wake? Uzi ulopita alidai kazalisha wanawake watano na hana mpango nao, uzi ulofata akadai kaasili watoto wawili na hajaoa.
Kwanza sikujua kama ni marufuku kuleta convo za pm, nishawahi kwenda pm mara mbili tu za yule mzee wa Switzerland. Nilijua si sawa kwenye uzi ule, kwahiyo unasema 'nilitaka kuharibu' uzi wake? Uzi ulopita alidai kazalisha wanawake watano na hana mpango nao, uzi ulofata akadai kaasili watoto wawili na hajaoa.
Nje ya mada: Natazamia huko mbeleni pawe na special forum for verified users only. Nitaianzishia thread kuchanganua faida zake.
Tupatiwe taarifa tukiwa ignored tafadhali ili tujue kabisa.
Jf haiwez kunoga wapuuzi kama hao wote ukiwa ignoreSasa hivi ni mwendo wa kuwatembezea rungu la ignore list MATAGA wote.
Hi Maxence Melo , mbona hii feature nakumbuka ilikuwepo siku nyingi,, please correct me
Nimeiona imewekwa kama N.B kwenye sheria ya tisa.Soma hapa: Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala katika JamiiForums utabaini kuwa kuleta maongezi ya faragha hadharani ni kosa kubwa
Kwani mimi nakuhusu nini, nina madhara gani kwako, kwanini unanilazimisha niachane na jambo lake? Ungekuwa unaishi ulichokiandika usingeniandikia hivi. Ni kwamba huwezi mind your own business katika mada za JF kwakuwa zipo tujadiliane, ndo maana hakuna thread unayoweza zuia comments.Wewe nini ilikuwa mbaya kwako pale? Mkuu kwenye hizi ID fake usitake kuwa unagombana na keyboard Kama jambo halikuhusu na halina madhara kwako na kwa wengine achana nalo ....huo ndio ustarabu
Uanaume sio ndevu tu na kojeleo mkuu
Mi niliiona mudaHi Maxence Melo , mbona hii feature nakumbuka ilikuwepo siku nyingi,, please correct me
Mie mwenyewe naona sawa tu!USSR abaki hivyo hivyo kwenye ignore list yako, usimtoe mkuu itakuwa ni heshima kubwa sana kwake.
Mie nahisi naongoza humuAh! mkuu sikujua kuna ''probation period''. List yangu ilishafika 12 🙂