Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Nashindwa upload video kama mwanzo
Na Ile icon ya drop video siioni
Je ni Mimi Tu au kila mtu?
Nifanyeje?

Utapewa ufafanuzi mkuu

Kuna tatizo sehemu ila shaka ondoa litarekebishwa
 
1. Hiyo hali naona kama italeta ukakasi kidogo

2. Option hiyo ipo, haswa kwa mtu kama wewe unayetumia browser, ukiweka cursor kwenye Thanks zitatokea emojis kama 6 moja wapo ni ya Dislike {Ipo Mwisho Kulia}
 
Sasa hivi ni mwendo wa kuwatembezea rungu la ignore list MATAGA wote.
Nyie waoga sana nyie, hii sio sawa, mnapenda kumsikiliza mnachokipenda tu kama wale watu wenu wa tweeter ukiwapinga tu wanakublock, hiyo sio sawa na hata hili hapa linakandamiza freedom of speech and expression, kwa nini haya maboresho yawe katika kipindi hiki Maxence Melo? kuna nini nyuma ya pazia? tujifunze kuvumiliana wapendwa.
 
1. Hiyo hali naona kama italeta ukakasi kidogo

2. Option hiyo ipo, haswa kwa mtu kama wewe unayetumia browser, ukiweka cursor kwenye Thanks zitatokea emojis kama 6 moja wapo ni ya Dislike {Ipo Mwisho Kulia}
Thanx mkuu, hapo nimejaribu tu, sio kwamba nimedislike comment yako.

Hapo namba moja sioni ukakasi wowote, ukijua fulani hana interest na michango yako hakuna ubaya nadhani. Nway ni maoni tu.
 
Ignore ni nzuri ila kwangu haina nafasi kabisa, eti kwa vile tu mtu ametoa maoni au ana mtazamo tofauti na wangu basi ale block, kwangu ni udhaifu mkubwa wa kushindwa kuishi na watu tofauti. Nitaendelea kufurahia humu kwa kusoma pumba na mashudu yote.
 
Watu wote tungekuwa na fikra kama zako ingependeza zaidi

Thanx mkuu, hapo nimejaribu tu, sio kwamba nimedislike comment yako.

Hapo namba moja sioni ukakasi wowote, ukijua fulani hana interest na michango yako hakuna ubaya nadhani. Nway ni maoni tu.

Nilipopata notification hiyo , nilishituka kidogo

Vizuri kwa kuweza kuona jinsi ya kutumia Dislike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…