Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Si bloku mtu......nakuogopa nini ...mpaka kieleweke hata kama ni 2050
 
Ha ha ha haka ka Uzi nimekapenda bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] @biayetu Keisha habari yako
 

Mkuu,

Ignore option imekuwepo tangu kuanza kwa JF, lengo si watu wapuuziane ila badala ya mtu kuwasumbua mods kuwa flani aondoshwe kisa hakubaliani na hoja zake, tukawapa uwezo wa kufanya hivi.

Aidha, hapa tumeongeza option ya kuweza kutoona contents za forum flani au thread flani; maana watu walianza kutaka forums kadhaa wasione contents zake.

Client needs sometimes zina changamoto zake; imagine ili limefanywa after 14 yrs za kuanzishwa kwa JF, si kuwa tunalipenda ila tunaepusha malalamiko yanayoweza kuwa sorted.

Sitamani watu wahamasike kuanza kutumia hizo options, ukiangalia signature yangu inaeleza wazi - NATAMANI TUWEZE KUVUMILIANA!
 
asanteni mods kwa maboresha naona na vipengele vya superscript na subscript vimeongezwa. Kero nyingine iliyopo jf ni hii ya baadhi ya verified account kuanzisha thread mwisho wa siku wanazitelekeza. Natolea mfano account ya vodacom, tangu wameweka ile thread yao hawajawahi kurudi kujibu hoja na maswali wanayoulizwa. wengine ni Tecno huwa wanaanzisha thread na kujiondokea, watu wanauliza maswali kutaka ufafanuzi No Further response. Hili nalo mliangalie au kama vipi mziondoe coz hazina msaada

Maxence Melo

Cookie
 
Mkuu Melo mm nahitaji kui update my Jf app but siioni kule play store, cjui ni mm tu au ni vp, mana mwezi huu katikati nili update, lkn kwa ss siioni app kule play store.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…