Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu wa kwny ignore list akipost upuuzi wake huoni lkn tatizo mtu akim quote then yale mashudu yake unayaona kama kawa.
Labda limekua solved hilo.
Noted,thnxs.Solved
Hata hiyo hainisaidiiPole, ipo. Kama upo via Mobile (browser), tumia hii kwa sasa, badae kidogo (leo) itawekwa ili via mobile ionekane.
Kwa Mobile App, naamini button ya kutumia ipo clear
View attachment 1464056
Hata hiyo hainisaidiiPole, ipo. Kama upo via Mobile (browser), tumia hii kwa sasa, badae kidogo (leo) itawekwa ili via mobile ionekane.
Kwa Mobile App, naamini button ya kutumia ipo clear
View attachment 1464056
Nyie waoga sana nyie, hii sio sawa, mnapenda kumsikiliza mnachokipenda tu kama wale watu wenu wa tweeter ukiwapinga tu wanakublock, hiyo sio sawa na hata hili hapa linakandamiza freedom of speech and expression, kwa nini haya maboresho yawe katika kipindi hiki Maxence Melo? kuna nini nyuma ya pazia? tujifunze kuvumiliana wapendwa.
Hata hiyo hainisaidii
Labda kwangu kuna tatizo lingine
Bia yetu go to hell
Mataga ina maana gani?Sasa hivi ni mwendo wa kuwatembezea rungu la ignore list MATAGA wote.
Nakusalimu Bro.Usijali, hiyo button ya Video unaiona in next 10min
Mkuu Melo mm nahitaji kui update my Jf app but siioni kule play store, cjui ni mm tu au ni vp, mana mwezi huu katikati nili update, lkn kwa ss siioni app kule play store.Wakuu,
Kumekuwepo maombi ya wadau wakitaka kuweza kutoona aidha wanachoandika watu flani au kutoona content kutoka forum flani au contents za thread flani tu.
Naam, tumelifanyia kazi hili na sasa unaweza kufanya hivyo.
ZINGATIA: Ignore list yako inakuwa hapa mara zote https://www.jamiiforums.com/account/ignored
MFANO katika PICHA:
Ukitaka kutoona mada za mdau flani (kumradhi USSR nimekutumia kwa mfano), basi bonyeza jina lake utaona option ya IGNORE - bonyeza hapo.
View attachment 1463904
Ukitembelea profile yako, eneo la IGNORE list utaona hivi:
View attachment 1463905
Kama unataka kutoona contents za forum flani, unaenda kwenye forum husika na utaona kuna hiyo button ya IGNORE; bonyeza na utaona hivi:
View attachment 1463903
View attachment 1463909
Aidha, unaweza kuchagua ku-IGNORE thread moja moja badala ya forum nzima ili uweze kupata kile kitu unataka.
View attachment 1463907