Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Video drop button?
Kwangu bado Mkuu
Hii hapa 👇🏾
C22379CA-D412-4964-9579-B10AFC4AF3AD.jpeg
 
Kuna Mada sijawahi zipenda.....

Moja wapo ni za mambo ya dini... hizi ndio za kwanza kuziblock

Hao MATAGA siwablock sababu napenda ona ujinga wao
 
Aisee timu domo msiniweke huko jela ntabishana na nani mie
 
Kuna Mada sijawahi zipenda.....

Moja wapo ni za mambo ya dini... hizi ndio za kwanza kuziblock

Hao MATAGA siwablock sababu napenda ona ujinga wao
ᒍᵘᵏʷᵃᵃ Lᵃ ᗪⁱⁿⁱ mm sijawahi kuingia humu sijui kwanini walikuja kuliweka public..
 
Kuna mada huwa yaanzishwa vizuri. Wanajitokeza wa Dini zingine na kuanza weka udini wa ajabu...

Kuna jukwaa la international kule kuna Bwana Utam

Jamaa ni hater ila namkubali sana maana yeye yupo kuona Marekani inapotea
ᒍᵘᵏʷᵃᵃ Lᵃ ᗪⁱⁿⁱ mm sijawahi kuingia humu sijui kwanini walikuja kuliweka public..
 
! Ninazidi kuona umuhimu wa kitufe!
Unanijua? kama hunijui na hatujuani basi sina/huna msaada kwangu hata ukiblock unaumia wewe sio mimi

Msaada wangu kwako labda nikupe POLE na ukiona unachukizwa chukizwa mtandaoni kwa mambo madogo ujue umri ushakutupa mkono

Tuachie vijana haya mambo we endelea kula pension...
 
Twitter, Facebook, Instagram n.k option ya kublock mtu ipo.

Hata kanisani au msikitini ukizingua wanakublock Hakuna kwenda
Huko twitani sijui facebook na kanisani wote ni wavivu wa kufikiri, mtu aliyekamilika anakubali kupokea changamoto

Hii dunia tusingekuwepo watu wa sampuli yangu ( Bia yetu Magonjwa Mtambuka ) isingekuwa dunia tena
 
Hii itasaidia kupunguza hasira zangu maana kuna wachangiaji kama yule anayejita sijui foxy' huwa nikiziona comments zake nahisi napatwa na 'ugonjwa wa kushindwa kupumua vizuri'
 
Huko twitani sijui facebook na kanisani wote ni wavivu wa kufikiri, mtu aliyekamilika anakubali kupokea changamoto

Hii dunia tusingekuwepo watu wa sampuli yangu ( Bia yetu Magonjwa Mtambuka ) isingekuwa dunia tena
Wewe ndio upo kwa uwepo wa hao unaowataja , Mimi Niko dunian kwa kudra za mungu...

By the way Kama hujaridhika ni haki yako kujitoa.
 
Braza angalia kwa mapana italeta watu kufungua account nyingi zisizo na maana, maana mtu atakuwa akiwa ignored anafungua account (a/c) nyingine, watu watakuwa na Account zaidi ya kumi au hiii wewe unaingalia kwa kipi maana watu umu wengi wana account nyingi, Sasa iyo itachangia uwingi zaidi
 
Back
Top Bottom