- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
- Thread starter
- #181
Hii hapa 👇🏾Video drop button?
Kwangu bado Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapa 👇🏾Video drop button?
Kwangu bado Mkuu
Yaani apa itakuwa ukijadiriwa kwy group, watu wana ignoreMATAGA WOTE WAWE IGNORED
Ni zote tu mkuu ngoja nitafute thread ingine nkutumie au haina hajaKimsingi sikuwa nimeweka attachment yenyewe! Corrected
[emoji1787] inasemekana melo kumtumia huyo kama mfano si kwa bahati mbaya[emoji3][emoji3]
Ni zote tu mkuu ngoja nitafute thread ingine nkutumie au haina haja
Sent using Jamii Forums mobile app
ᒍᵘᵏʷᵃᵃ Lᵃ ᗪⁱⁿⁱ mm sijawahi kuingia humu sijui kwanini walikuja kuliweka public..Kuna Mada sijawahi zipenda.....
Moja wapo ni za mambo ya dini... hizi ndio za kwanza kuziblock
Hao MATAGA siwablock sababu napenda ona ujinga wao
ᒍᵘᵏʷᵃᵃ Lᵃ ᗪⁱⁿⁱ mm sijawahi kuingia humu sijui kwanini walikuja kuliweka public..
Unanijua? kama hunijui na hatujuani basi sina/huna msaada kwangu hata ukiblock unaumia wewe sio mimi! Ninazidi kuona umuhimu wa kitufe!
Huko twitani sijui facebook na kanisani wote ni wavivu wa kufikiri, mtu aliyekamilika anakubali kupokea changamotoTwitter, Facebook, Instagram n.k option ya kublock mtu ipo.
Hata kanisani au msikitini ukizingua wanakublock Hakuna kwenda
Wewe ndio upo kwa uwepo wa hao unaowataja , Mimi Niko dunian kwa kudra za mungu...Huko twitani sijui facebook na kanisani wote ni wavivu wa kufikiri, mtu aliyekamilika anakubali kupokea changamoto
Hii dunia tusingekuwepo watu wa sampuli yangu ( Bia yetu Magonjwa Mtambuka ) isingekuwa dunia tena
Inafikirisha sana mshua kumtumia huyu muhusika kama mfano.😀😀🏃Mimi hanijui 🤣
Braza angalia kwa mapana italeta watu kufungua account nyingi zisizo na maana, maana mtu atakuwa akiwa ignored anafungua account (a/c) nyingine, watu watakuwa na Account zaidi ya kumi au hiii wewe unaingalia kwa kipi maana watu umu wengi wana account nyingi, Sasa iyo itachangia uwingi zaidiHii hapa [emoji1484]View attachment 1464103