Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi bongo wasijue una mpunga
Utawindwa weweee [emoji23][emoji23][emoji23]
Watakuja kwa kila style ilimradi wakuchomoe hela
Ova
Kwamba mods wanashirikiana/wanawaogopa majambawazi yaliyo halalishwa kwa kupewa sare na silaha?🤔Bado tu huu Uzi upo...
Bila shakaHuu uzi sijui kama utabaki salama
Luka 3:14 (BHN)Polisi wa nchi hii NI majambaka kabisaaa mi ndugu zangu wote ambao ni polisi kila mtu alishachukua njia yake...staki wakanyage kwangu wakae kwenye viota vyao Kama kalunguyeye hukohko Kota..
Luka 3:14 (BHN)Polisi bongo wasijue una mpunga
Utawindwa weweee [emoji23][emoji23][emoji23]
Watakuja kwa kila style ilimradi wakuchomoe hela
Ova
IGP Mangu aliacha legasi nzuriWazazi tulianza kufanyia kazi ushauri wa IGP alitushauri vizuri tu tena kwa roho safi kua wazazi tusizae majambazi na magaidi kama HAMZA naamini lengo lilikua kudumisha amani na utulivu nchini ni sawa wazazi tulipokea ushauri huo kwa mikono yote miwili.
Vipi yeye sasa kuongoza waporaji wa mali za Raia wema na wauwaji wa raia wasio kua na hatia kwenye jeshi lake kama wazazi na sisi tunamshauri aache kuongoza majambazi huko kwenye taasisi yake bali alitakiwa kuongoza askari wenye weledi wa kutosha na sio kuongoza wauwaji wa mfanyabiashara wa madini.
Wazazi tunamshauri pia IGP Siro kamwe asiongoze majambazi wanaofanya uhalifu huko polisi.
Kama tulivopokea ushauri wake naamini nae atapokea ushauri wetu na kwa kuanzia tu ni vyema ajiuzuru nafasi yake.
..Afrika ukiona kiongozi anawajibika basi ujue kachimbwa biti na wakubwa zake zaidi...
😞Polisi bongo wasijue una mpunga
Utawindwa weweee 😂😂😂
Watakuja kwa kila style ilimradi wakuchomoe hela
Ova
Polisi bongo wasijue una mpunga
Utawindwa weweee [emoji23][emoji23][emoji23]
Watakuja kwa kila style ilimradi wakuchomoe hela
Ova
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Wazazi msituzalie watoto kama mapolisi"
Wazazi tulianza kufanyia kazi ushauri wa IGP alitushauri vizuri tu tena kwa roho safi kua wazazi tusizae majambazi na magaidi kama HAMZA naamini lengo lilikua kudumisha amani na utulivu nchini ni sawa wazazi tulipokea ushauri huo kwa mikono yote miwili.
Vipi yeye sasa kuongoza waporaji wa mali za Raia wema na wauwaji wa raia wasio kua na hatia kwenye jeshi lake kama wazazi na sisi tunamshauri aache kuongoza majambazi huko kwenye taasisi yake bali alitakiwa kuongoza askari wenye weledi wa kutosha na sio kuongoza wauwaji wa mfanyabiashara wa madini.
Wazazi tunamshauri pia IGP Siro kamwe asiongoze majambazi wanaofanya uhalifu huko polisi.
Kama tulivopokea ushauri wake naamini nae atapokea ushauri wetu na kwa kuanzia tu ni vyema ajiuzuru nafasi yake.
Kwanza ni mmoja kati ya wazaz walozaa matota ya ovyo achilia mbali kuongoza kundi la vibaka wauwajiWazazi tulianza kufanyia kazi ushauri wa IGP alitushauri vizuri tu tena kwa roho safi kua wazazi tusizae majambazi na magaidi kama HAMZA naamini lengo lilikua kudumisha amani na utulivu nchini ni sawa wazazi tulipokea ushauri huo kwa mikono yote miwili.
Vipi yeye sasa kuongoza waporaji wa mali za Raia wema na wauwaji wa raia wasio kua na hatia kwenye jeshi lake kama wazazi na sisi tunamshauri aache kuongoza majambazi huko kwenye taasisi yake bali alitakiwa kuongoza askari wenye weledi wa kutosha na sio kuongoza wauwaji wa mfanyabiashara wa madini.
Wazazi tunamshauri pia IGP Siro kamwe asiongoze majambazi wanaofanya uhalifu huko polisi.
Kama tulivopokea ushauri wake naamini nae atapokea ushauri wetu na kwa kuanzia tu ni vyema ajiuzuru nafasi yake.
Afrika ukiona kiongozi anawajibika basi ujue kachimbwa biti na wakubwa zake zaidi...