IGP alitusihi wazazi tusizae majambazi, vipi yeye kuongoza wauaji huko Jeshi la Polisi

Polisi bongo wasijue una mpunga
Utawindwa weweee [emoji23][emoji23][emoji23]

Watakuja kwa kila style ilimradi wakuchomoe hela

Ova

Polisi wa Tanzania kwanza usifanye nao Urafiki, halafu ukiwa na pesa wewe rafiki zako ni wakubwa zao katika kazi basi umemaliza yaani hata jirani yako kama polisi usipende mazoea nae
 
Polisi wa nchi hii NI majambaka kabisaaa mi ndugu zangu wote ambao ni polisi kila mtu alishachukua njia yake...staki wakanyage kwangu wakae kwenye viota vyao Kama kalunguyeye hukohko Kota..
 
Luka 3:14 (BHN)
Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”
 
Polisi bongo wasijue una mpunga
Utawindwa weweee [emoji23][emoji23][emoji23]

Watakuja kwa kila style ilimradi wakuchomoe hela

Ova
Luka 3:14 (BHN)
Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”
 
Wazazi tulianza kufanyia kazi ushauri wa IGP alitushauri vizuri tu tena kwa roho safi kua wazazi tusizae majambazi na magaidi kama HAMZA naamini lengo lilikua kudumisha amani na utulivu nchini ni sawa wazazi tulipokea ushauri huo kwa mikono yote miwili.

Vipi yeye sasa kuongoza waporaji wa mali za Raia wema na wauwaji wa raia wasio kua na hatia kwenye jeshi lake kama wazazi na sisi tunamshauri aache kuongoza majambazi huko kwenye taasisi yake bali alitakiwa kuongoza askari wenye weledi wa kutosha na sio kuongoza wauwaji wa mfanyabiashara wa madini.
Wazazi tunamshauri pia IGP Siro kamwe asiongoze majambazi wanaofanya uhalifu huko polisi.

Kama tulivopokea ushauri wake naamini nae atapokea ushauri wetu na kwa kuanzia tu ni vyema ajiuzuru nafasi yake.
IGP Mangu aliacha legasi nzuri
 
Afrika ukiona kiongozi anawajibika basi ujue kachimbwa biti na wakubwa zake zaidi...
..
IMG_0962.jpg

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Polisi bongo wasijue una mpunga
Utawindwa weweee [emoji23][emoji23][emoji23]

Watakuja kwa kila style ilimradi wakuchomoe hela

Ova

Kwa hiyo unasema wakiingia popote na sisi tupishane nao hata kama ni kwenye Bus [emoji590]
 
Binafsi naona haikua kauli sahihi ila tumsamehe polisi wengi wanatabia ya ubabe kuanzia kuongea had matendo
 
Binafsi sikupendezwa na hiyo kauli ila polisi ni wababe kuanzia kuongea had matendo
 
Wazazi tulianza kufanyia kazi ushauri wa IGP alitushauri vizuri tu tena kwa roho safi kua wazazi tusizae majambazi na magaidi kama HAMZA naamini lengo lilikua kudumisha amani na utulivu nchini ni sawa wazazi tulipokea ushauri huo kwa mikono yote miwili.

Vipi yeye sasa kuongoza waporaji wa mali za Raia wema na wauwaji wa raia wasio kua na hatia kwenye jeshi lake kama wazazi na sisi tunamshauri aache kuongoza majambazi huko kwenye taasisi yake bali alitakiwa kuongoza askari wenye weledi wa kutosha na sio kuongoza wauwaji wa mfanyabiashara wa madini.

Wazazi tunamshauri pia IGP Siro kamwe asiongoze majambazi wanaofanya uhalifu huko polisi.

Kama tulivopokea ushauri wake naamini nae atapokea ushauri wetu na kwa kuanzia tu ni vyema ajiuzuru nafasi yake.

Aaaaaah kabisa aachie ngazi bora wangefanya ivo askari wachini tungesema ni njaa sasa Maafisa kabisa kwanza hili doa ilitakiwa hadi RPC atoke ila katika hili watupishe.
 
Hapa ndio pagumu..polisi wa tanzania wana njaa haijawahi tokea.

Kiufupi ni majambazi waliopewa idhini ya kulinda raia.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi msizae watoto wenye tabia kama za polisi alisikika mwanachama wa TANU pale tandahimba miaka ya 1970
 
Wazazi tulianza kufanyia kazi ushauri wa IGP alitushauri vizuri tu tena kwa roho safi kua wazazi tusizae majambazi na magaidi kama HAMZA naamini lengo lilikua kudumisha amani na utulivu nchini ni sawa wazazi tulipokea ushauri huo kwa mikono yote miwili.

Vipi yeye sasa kuongoza waporaji wa mali za Raia wema na wauwaji wa raia wasio kua na hatia kwenye jeshi lake kama wazazi na sisi tunamshauri aache kuongoza majambazi huko kwenye taasisi yake bali alitakiwa kuongoza askari wenye weledi wa kutosha na sio kuongoza wauwaji wa mfanyabiashara wa madini.

Wazazi tunamshauri pia IGP Siro kamwe asiongoze majambazi wanaofanya uhalifu huko polisi.

Kama tulivopokea ushauri wake naamini nae atapokea ushauri wetu na kwa kuanzia tu ni vyema ajiuzuru nafasi yake.
Kwanza ni mmoja kati ya wazaz walozaa matota ya ovyo achilia mbali kuongoza kundi la vibaka wauwaji
 
Hahaha

Kwa hiyo yale Maneno nimejiuzulu kwa hiyari yangu bila ya kushinikizwa wala kushawishiwa ili kulinda maslahi ya Nchi na Chama changu…huwa kachumbari tu

Back
Top Bottom