IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

Polisi i think kuna watu wana uwezo wa kuchunguza matukio kama haya..
 
sasa jambo la msingi kwenye suala hili ni kwa wale wote wenye taarifa sahihi au viashiria vya kutendeka kwa kosa kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili kama kuna watu au mtu walio husika kutekeleza mauaji hayo wachukuliwe sheria.
 
We nani hadi uje na ushahidi huo, ulifanyia wapi uchunguzi kwa Binadamu wote duniani?

Moyo wa mtu ni giza.
Tulia wwe wacha forensic team iingie kazini ndiyo utajua hujui! Ata yule Mzee wa Magunia ya mkaa wa Kigamboni yeye ndiyo alikua msitari wa mbele kumtafuta mkewe alieacha ujumbe asitafutwe kwenye simu yake, kumbe kuja kujua ule ujumbe alijiandikia mwenyewe na kujitumia kwa simu yake! Hadi leo yuko huko Jela!!
 
Ule hauwezi ukawa ujumbe wa kiwango cha Katibu. Unless alikuwa Katibu asiye na sifa.
 
Mkuu najua ukiandika jambo umelifanyia analisisi

Hata mimi nimestuka kuna jambo behind hiki kifo.... ule ujumbe umeandikwa na marehemu lakini ni nani ameusambaza?

Majibu anayo Monica na Masanja.
 
Uchunguzi wa polisi usikie tu,ni vipondo mwanzo mwisho kwa watuhumiwa.😁
 
Hayp aliyoyaleta hapa yamesemwa na IGP ba si yeye
I like IGP Camillus Wambura; he has been my ROLE MODEL for DECADES NOW; I like him!
Kama kuna ujinga wowote umefanyika katika hili; nawahurumia wahusika; watachoka
 
Nilichogundua watu wanamchukia masanja mkandamizaji
Atakuwa ana hela kuwazidi na kama siyo hela, basi atakuwa ana kitu kingine cha pekee ambacho walio wengi hawana na hivyo anawzidi. Hajawahi kuwa jambazi na wala sijawahi kumsikia akitukana watu
 
Police kamwe hawawezi kupata ushahidi mzito wa kumtia hatiani kaka mchungaji, watamsumbua sumbua ila kesho tu anaendelea na yake.
 
Sasa unalfundsha jeshi la polisi jns ya kufanya kazi???
Sio kweli analifundisha , mtoa mada WENDA ipo arufu mbaya amenusa pale na Kama raia mwema ni haki yake kushutua vyombo husika, that's ajaongelea chochote ,kulinda haki ,amani ,ujangili na wizi inamhusu KILA mtanzania, Sasa kosa lake nini au amewafundisha nini
 
Massanja haez ua hlf ajiachie ushahid wa kushikwa , kuna mtu kamuua huyo dogo
Tatizo hatujui kwani ua lazima iwe direct, ? Haya matukio tuyaache yalivyo, unakuta mtu yuko Urus ila unakandamizwa ukiwa tz ,ila mtandao ndo unafanya KAZI tu chini ya mkono wa alieko Urus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…