blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Huo ndo ukweli!Kwahiyo unataka kutuambia Masanja kamdedisha jamaa baada ya kugundua anadoea utamu wake kimasihara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndo ukweli!Kwahiyo unataka kutuambia Masanja kamdedisha jamaa baada ya kugundua anadoea utamu wake kimasihara?
Masanja akamatwe!Hakuna mtu mwenye akili chafu aaue mgoni wake kisha amchafue mkewe wake.
Hio barua tu tayari ni kasfa bila kujali alikuwa anakula au la
Ndo plot hiyo mkuu... Yaani inawezekana imetengenezwa scene ambayo itakufanya usiamini kwamba ni assassination plot.Kuna mtu anaweza kufanya uhuni huo na kumchafua mkewe kweli?
Polisi i think kuna watu wana uwezo wa kuchunguza matukio kama haya..Mkuu,sasa hivi ukifuatilia mitandaoni kila mtu anafurahi yaliyomkuta masanja,hakuna mtu anafikiria kiundani,huenda kama mkandamizaji ndiye kafanya hayo alijua kabisa watu wengi hawampendi hivo watafurahi na hakutokuwa na uchunguzi
Ni ngumu sana wamchunguze,hapa Africa utachungunzwa endapo tu kama ulikuwa na ugomvi wa wazi na marehemu
Hao majirani hawakuwa na shughuli ya kufanya kutwa kuchunguza Monica kala nn na kaenda wapi?...Pia majirani wanathibitisha mke wa masanja alikuwa anaenda Mara kadhaa asubuhi nyumbani kwa marehemu wakati mkewe marehemu yupo kazini..
Kama hadi sasa hujui kijana anazikwa wapi hata hiyo investigation itakushinda.Demi lini huyu kijana anazikwa na wapi anazikwa niwatume vijan wangu wakafanye independent investigation
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mtu amfagilia mke wake tuamchukia?Hawamchukii I;a wamefurahi kwa sababu alikuwa anamfagilia sana mamchungaji
Tulia wwe wacha forensic team iingie kazini ndiyo utajua hujui! Ata yule Mzee wa Magunia ya mkaa wa Kigamboni yeye ndiyo alikua msitari wa mbele kumtafuta mkewe alieacha ujumbe asitafutwe kwenye simu yake, kumbe kuja kujua ule ujumbe alijiandikia mwenyewe na kujitumia kwa simu yake! Hadi leo yuko huko Jela!!We nani hadi uje na ushahidi huo, ulifanyia wapi uchunguzi kwa Binadamu wote duniani?
Moyo wa mtu ni giza.
Inategemea unaona zito lipi? Kuogopa kashfa au kupewa kesi ya mauaji.Hakuna mtu mwenye akili chafu aaue mgoni wake kisha amchafue mkewe wake.
Hio barua tu tayari ni kasfa bila kujali alikuwa anakula au la
Ule hauwezi ukawa ujumbe wa kiwango cha Katibu. Unless alikuwa Katibu asiye na sifa.Kifo cha yule dogo kimekaa kimkakati! Nimepitia page ya dogo sioni uwezekano wa kujiua kwasababu za kizembe vile.
Alafu inasemekana ujumbe alituma kwa mama yake, marafiki zake kabla hajajiondoa na ukisoma ujumbe wenyewe sioni kabisa uwezekano wa kuandikwa na yule dogo.
Polisi wafatilie kwa undani, kuna jambo halijakaa sawa kabisa! Isijekuwa dogo kaondoshwa sababu nyingine nje ya mapenzi ikiwemo biashara haramu.
Mkuu najua ukiandika jambo umelifanyia analisisiSalaam Wakuu
Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend.
View attachment 2375542
Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja.
Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe.
Mtashangaa Matokeo yake.
Polisi wana weredi mkubwa wakiamua kufanya kazi.
Pia Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe ajiuzulu au apelekwe makao Makuu ili kupisha Uchunguzi.
Je, nani alithibitisha mwandiko ule ni wa Marehemu?
Ipo wapi Intelejensia ya Polisi?
Hatuwezi kukubali watu wauliwe kishenzi namna hii. Halafu mnatuletea Stori za Mapenzi. Uhai wa binadamu hauna Spea, acheni kuchezea uhai wetu.
View attachment 2375550
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.
I like IGP Camillus Wambura; he has been my ROLE MODEL for DECADES NOW; I like him!Hayp aliyoyaleta hapa yamesemwa na IGP ba si yeye
Atakuwa ana hela kuwazidi na kama siyo hela, basi atakuwa ana kitu kingine cha pekee ambacho walio wengi hawana na hivyo anawzidi. Hajawahi kuwa jambazi na wala sijawahi kumsikia akitukana watuNilichogundua watu wanamchukia masanja mkandamizaji
Police kamwe hawawezi kupata ushahidi mzito wa kumtia hatiani kaka mchungaji, watamsumbua sumbua ila kesho tu anaendelea na yake.Mimi ukiniambia mwanaume kajiua sababu ya mchepuko, tena mchepuko unaomzidi umri, mchepuano ambao unaona kabisa mtongozaji ni mwanamke, nitakataa mpaka kesho kutwa.
Yule dogo hawezi kujiua sababu ya mke wa Masanja kamwee.
Something is wrong somewhere.
vipi kama yeye ndiyo anatafuniwa? kisha mtafutaji akagundua akamdedisha kisha akaandika mwenyewe ule ujumbe kuficha soo lake?Ndoa yake?
Sio kweli analifundisha , mtoa mada WENDA ipo arufu mbaya amenusa pale na Kama raia mwema ni haki yake kushutua vyombo husika, that's ajaongelea chochote ,kulinda haki ,amani ,ujangili na wizi inamhusu KILA mtanzania, Sasa kosa lake nini au amewafundisha niniSasa unalfundsha jeshi la polisi jns ya kufanya kazi???
Tatizo hatujui kwani ua lazima iwe direct, ? Haya matukio tuyaache yalivyo, unakuta mtu yuko Urus ila unakandamizwa ukiwa tz ,ila mtandao ndo unafanya KAZI tu chini ya mkono wa alieko UrusMassanja haez ua hlf ajiachie ushahid wa kushikwa , kuna mtu kamuua huyo dogo