IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

Au maigizo yake yamefanya mafia wamuingilie na kumchafua? Maigizo kama yale ya kutaka mkono upigwe kwa kushindanisha nguvu na yule mr slim, je kama angeamua kumfanyinzia anashindwa nini kumpenyezea mafia wake wamkomeshe? Mamabo ni mengi katika kunusanusa mpaka ukweli upatikane
Ya lini hio mkono upigwe
 
Tuseme kweli ilikuwa planned ameuliwa...
Iweje barua aliyoiacha imchafue mke wa jamaa?
Yaani wapange halafu mke achafuliwe kiasi hicho na hakuna ukweli wowote. Hebu nifungue akili...
Halafu maajabu ni kuwa, kwamujibu wa barua aliyoacha marehemu hakutaka issue iwe published mitandaoni akamtumia (mke wa masanja private) Halafu haraka haraka masanja km
 
Au maigizo yake yamefanya mafia wamuingilie na kumchafua? Maigizo kama yale ya kutaka mkono upigwe kwa kushindanisha nguvu na yule mr slim, je kama angeamua kumfanyinzia anashindwa nini kumpenyezea mafia wake wamkomeshe? Mamabo ni mengi katika kunusanusa mpaka ukweli upatikane
Hii hoja yako itapuuzwa na watu wote ambao hawajasoma kitabu cha yule bodyguard wa Mr slim, ninacho soft copy, jamaa anadai Kagame ana matatizo ya akili kwa mfano, kuna siku Kagame alitapika kwenye gari na kushuka kwenda kukojoa kichakani, bodyguard ikabidi aende kufuta yale matapishi,aliporudi Kagame akampiga mlinzi ngumi,

siku nyingine Kagame kapiga simu kwa Dk mmoja ikapokelewa na mdada wa kazi ilikuwa miaka ya 90,kagame akasema mpe mwenye simu niongee naye,mdada akagoma anataka kujua nani anaongea,kagame akawasha gari akaenda kumziba makofi yule House girl na kuamuru afukuzwe kazi hana adabu
 
Yes, hasa hasa kama hilo swala lina maslahi mapana kuliko ndoa, wana andika script na mke then series inachezwa.
Mfano wanaficha siri kubwa inayoweza kuwagharimu sana.
Pengine wametoa kafara tarajia ongezeko kubwa.
Watanzania sisi ni watu wa kupenda kuviangalia vitu kwa hali ya utani na kufanya vituko tu.

Hawaoni kuwa kufanya ionekane kama alikuwa anachapiwa mke ni hali ya kumtafutia huruma kwa jamii?

Mambo mengi sana yanatokea, watu wanafanya mambo yao kwa akili,kama huna akili ya kufikiria nje ya box huwezi kutilia shaka kitu.

Uchunguzi ni kitu muhimu sana ili kuondoa shaka.
 
Salaam Wakuu

Hatuwezi kukubali ndugu zetu waendelee kufa kimafia halafu watu wanazusha Story ya kutrend.
View attachment 2375542
Polisi wa Kawe waende pale Mbezi kwa Marehemu wazungushie Utepe na wawachukue maelezo familia ya Masanja.

Pia Mke wa Marehemu akamatwe na ahojiwe.

Mtashangaa Matokeo yake.

Polisi wana weredi mkubwa wakiamua kufanya kazi.

Pia Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe ajiuzulu au apelekwe makao Makuu ili kupisha Uchunguzi.

Je, nani alithibitisha mwandiko ule ni wa Marehemu?

Ipo wapi Intelejensia ya Polisi?

Hatuwezi kukubali watu wauliwe kishenzi namna hii. Halafu mnatuletea Stori za Mapenzi. Uhai wa binadamu hauna Spea, acheni kuchezea uhai wetu.
View attachment 2375550
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.
Kama una ushahidi wapelekee polis
 
Na kwa taarifa yako sasa hiyo unayoita kashfa ndo katika kinaweza kuwa kivuli cha kufichia uovu wote endapo mhusika alipanga hivyo. Watu mtabaki nmajadili hiyo kashfa wakati huo muuajia anaendelea kula bata
Hakuna mtu mwenye akili chafu aaue mgoni wake kisha amchafue mkewe wake.
Hio barua tu tayari ni kasfa bila kujali alikuwa anakula a
 
Kama kulikuwa na rumours asingemdedisha halafu chanzo kiwe hicho na barua iandikwe hivyo, huoni ni kama anajishtaki watamchunguza?
Kwenye kila uhalifu, huwa Kuna alama inaachwa. Wahalifu sio kwamba wanakuwa smart 100%

Yule dogo mwizi wa mabenki Marekani wamemkata hivi karibuni sababu ya kujisahau kidogo tu. Ila alikuwa na akili nyingi Sana, kosa dogo likamkamatisha
 
Yes mistakes zipo lakini sio hii ya waziwazi kabisa
 
Hii hoja yako itapuuzwa na watu wote ambao hawajasoma kitabu cha yule bodyguard wa Mr slim, ninacho soft copy, jamaa anadai Kagame ana matatizo ya akili kwa mfano, kuna siku Kagame alitapika kwenye gari na kushuka kwenda kukojoa kichakani, bodyguard ikabidi aende kufuta yale matapishi,aliporudi Kagame akampiga mlinzi ngumi,

siku nyingine Kagame kapiga simu kwa Dk mmoja ikapokelewa na mdada wa kazi ilikuwa miaka ya 90,kagame akasema mpe mwenye simu niongee naye,mdada akagoma anataka kujua nani anaongea,kagame akawasha gari akaenda kumziba makofi yule House girl na kuamuru afukuzwe kazi hana adabu
Mkuu usipojali naomba msaada wa hicho kitabu cha KAGAME pm au hapa hapa mkuu.
 
Yes, hasa hasa kama hilo swala lina maslahi mapana kuliko ndoa, wana andika script na mke then series inachezwa.
Mfano wanaficha siri kubwa inayoweza kuwagharimu sana.
Pengine wametoa kafara tarajia ongezeko kubwa.
Yeah dunia imefika pabaya, inawezekana ni kuchepusha mjadala wa utata wa kifo.... it's possible
 
Back
Top Bottom