IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

Kwani mtu akitakiwa atukanwe huwa anaanzwa kwa kuamkiwa?
 
Naona unapenda league sana,umeshindwa jukwaa la Russia 🇷🇺 & Ukraine 🇺🇦 umekimbilia huku.
 
Hii ndio typical Tanzania

Angekua anatembea kama alivyokua na 60 years usingeandika

We really love to see people suffering and laugh or feel good about it

Umri wa mahita ni mkubwa na you may not live to be his age
 
Kama anachechemea lakini ana uwezo wa kublock camera basi ni giant
 
Kwani mtu akitakiwa atukanwe huwa anaanzwa kwa kuamkiwa?
Ikiwa alikuwa mla rushwaa,kubambikia watu kesi za urongo lazima laana zihamie kwake.
Naona unapenda league sana,umeshindwa jukwaa la Russia 🇷🇺 & Ukraine 🇺🇦 umekimbilia huku.
Omary Mahita anatembea mwenyewe kwa kutumia mkongojo. Mnasema amelaaniwa.

Salim Ahmed Salim hawezi tembea, hawezi ongea, anabebwa hata akitaka kusogea mita moja pembeni. Huyo naye kalaaniwa?
 
Pamoja na yote sio HEKIMA kufurahia MTU kuchoka au kutokuwa on mood this is too worst and unacceptable

Hata wale tusiowapenda tuwaombee Amani maana hatuwezi kujua what's happened hadi wakafanya mambo mabaya .

Tumuombee na tuombeane AMANI sote ni ndugu siasa ,dini, cheo ,madaraka visitugawe .

💭
 
Omary Mahita anatembea mwenyewe kwa kutumia mkongojo. Mnasema amelaaniwa.

Salim Ahmed Salim hawezi tembea, hawezi ongea, anabebwa hata akitaka kusogea mita moja pembeni. Huyo naye kalaaniwa?
Uliwahi kusikia Al-marhum mzee A.H.Mwinyi kukebehiwa?Kwa nini?Kukebehiwa ni moja ya vitu vilivyomo kwenye kifurushi cha laana.
 
Umeandika kwa urahisi kama mtu amefurahi anakula senene na mbegu za kahawa/buni.
 
Hii ndio typical Tanzania

Angekua anatembea mama alivyokua na 60 years usingeandika

We really love to see people suffering and laugh or feel good about it

Umri wa mahita ni mkubwa na you may not live to be his age
Tabia za watu waliolala nyumba moja na mifugo kama mbuzi na kuku nyumbani kwao, bila jitihada za makusudi na kujitambua wanabaki na mentality za ajabu ajabu.
Mtu anakwambia mzee 70yrs+ anayetembea kwa mkongojo kalaaniwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…