Nimetoka kapa mazima...Mi namshauri Afande IGP kuweka Ma RCO wa rank ya ACP maana kwa kweli ma RCO kuwa na rank sawa na MaOCS kwa kweli Dah! OCD kuwa SSP sawa ila SSP kuwa RCO dah!
Wewe kama mimi tuKweli kila mtu na kada yake, sijaelewa kabisa hivyo vyeo vina maana gani hasa.
Just Google hivyo vyeo vipo tu But RCO (Regional Crimes Officer) kimsingi angepaswa kuwa na cheo cha kipolisi (rank) ya Assistant Commissioner of Police (ACP) then RPC (Regional Commander) at least angekuwa na cheo cha SACP ( Senior Assistant Commissioner of Police).Nimetoka kapa mazima...
Ama kweli kila mtu na taaluma yake....
Ambaye ana Nuksi ya ' Kutoteuliwa ' pia.Huyu bila shaka atakuwa askari polisi
Asprin says thank you Bondpost for this useful post..Just Google hivyo vyeo vipo tu But RCO (Regional Crimes Officer) kimsingi angepaswa kuwa na cheo cha kipolisi (rank) ya Assistant Commissioner of Police (ACP) then RPC (Regional Commander) at least angekuwa na cheo cha SACP ( Senior aye anapewa kuongoza wilaya kama OCD (Officer Commander of District) kiukweli kuwa sawa na RCO ambaye hawana tofauti sana na RPC sema sababu ya Chain of Command inabidi RPC ndio awe na Rank kubwa ya Usenior kamishna huwezi kumfananisha kwa rank
MAMLAKA kuu ndiyo iliyokua ikiweka mkono wake moja kwa moja "and it was by order" so RPC wouldn't have to do anything..!(by that ancient time)Swali zuri sana hili mkuu. Ukijibiwa ni-tag.
Kiaskari anaweza kupewa adhabu ya kawaida ila wao Wana utaratibu wao na Sheria zao so atakuwa reported kwa wakubwa zake for records au hatua zaidi.Nauliza tu Askari wa magereza anaweza kuwajibishwa na OCD endapo atafanya kosa?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Salute kamanda.nimekupata balabala kabisa.Kiaskari anaweza kupewa adhabu ya kawaida ila wao Wana utaratibu wao na Sheria zao so atakuwa reported kwa wakubwa zake for records au hatua zaidi.
Askari ni askari tu, aliyekuzidi cheo ndio ana akili so akili mukichwa. Ukishaona manyota we nyenyekea tu haijalishi manyota ya jeshi au kikosi gani.
>>wenye viti wa serekali za mtaa na wajumbe ni sehemu ya utendeja wa serekali na usalama kwa maeneo yao lakini wamejisahau kabisa.
Mi namshauri Afande IGP kuweka Ma RCO wa rank ya ACP maana kwa kweli ma RCO kuwa na rank sawa na MaOCS kwa kweli Dah! OCD kuwa SSP sawa ila SSP kuwa RCO dah!
Enzi hizo RPC alikuwa Hamduni wa TAKUKURU! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!RPC alietolewa Kilimanjaro hakuwepo enzi za ole sabaya?
Bora Leo watu wame amka nimakosa makubwa Sana RCO kuwa chini ya RPC coz uchafu unaofanya na ma NCOs Unakuta niamri halali ya RPC Sasa hapo RCO ataiandika ukweli ambao mahakama itamuwajibisha RPC ?Unachosema kina mantiki sana. RCO ni mtu kubwa sana, sema muundo wa kipolisi umekaa vibaya. RCO ilibidi wawe nje ya kabisa ya Polisi ila cha ajabu RCO yupo chini ya RPC kiutawala. Na hapo ndio kunakosekanaga uwazi
Naona umecheka kinafiki kwa kufikiri hamduni alikua ana support maovu ya sabaya halafu amepandishwa cheo km haujui hamduni ndio Pekee alikua sabaya hamtumii kufanya uhuni wake na alikua akijua kuna aliyebambikiwa kesi na sabaya anamuachia, tafuta story ya jamaa waliokamatwa na Sabaya kwa uharibifu miundo mbinu ya reli kesi ilivyofika kwa hamduni alitoa maamuzi gani aliwatoa wote kesi hakunaEnzi hizo RPC alikuwa Hamduni wa TAKUKURU! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!
Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!Naona umecheka kinafiki kwa kufikiri hamduni alikua ana support maovu ya sabaya halafu amepandishwa cheo km haujui hamduni ndio Pekee alikua sabaya hamtumii kufanya uhuni wake na alikua akijua kuna aliyebambikiwa kesi na sabaya anamuachia, tafuta story ya jamaa waliokamatwa na Sabaya kwa uharibifu miundo mbinu ya reli kesi ilivyofika kwa hamduni alitoa maamuzi gani aliwatoa wote kesi hakuna
Nipe darasa kidogo kuhusu RCO na RTO... nani bosi? Je RTO anaweza kuwa RCO and vice versa?Kiaskari anaweza kupewa adhabu ya kawaida ila wao Wana utaratibu wao na Sheria zao so atakuwa reported kwa wakubwa zake for records au hatua zaidi.
Askari ni askari tu, aliyekuzidi cheo ndio ana akili so akili mukichwa. Ukishaona manyota we nyenyekea tu haijalishi manyota ya jeshi au kikosi gani.