Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mwaka wa 3 huu???Upelelezi hautolewi wazi hadharani ovyo ovyo, ikifika wakati muafaka kila kitu kitawekwa wazi..
Sijaipenda ile documentary fupi ilikuwa haina maana yoyote.Kuhusu kujivunjia heshima au kujiongezea nitatumia haki yangu ya msingi to remain silent mpaka wakili aje.
SureNdio maana hakutangulia kuongelea HAKI, anakimbilia kuongelea amani. HAKI ndio msingi wa amani, full stop.
Kwani alikuwa pale kukueleza unachokitaka na kukipenda wewe au kutoa angalizo kuhusu the do and don't kipindi kikifika? sababu tu myafanyayo ni kinyume cha sheria, kanuni na taratibu ndo msipende kuona mtu akitimiza wajibu wake? huo ndo ukweli, nendeni kinyume mchangamshwe...,[emoji382][emoji382][emoji382]Sijaipenda ile documentary fupi ilikuwa haina maana yoyote.Kuhusu kujivunjia heshima au kujiongezea nitatumia haki yangu ya msingi to remain silent mpaka wakili aje.
..huyu Afande kuna HILA anazifanya dhidi ya CDM.
..matamshi yake yanaonyesha ana CHUKI / KISASI dhidi ya CDM.
..CDM wanapaswa kuwa makini sana na michezo michafu inayopangwa dhidi yao.
NB:
..IGP siyo mtoto wa sekondari asiyejua nini cha kipi kinafaa, na kipi hakifai, kuwa ktk presentation sensitive kama ile.
Upelelezi hautolewi wazi hadharani ovyo ovyo, ikifika wakati muafaka kila kitu kitawekwa wazi..
Kwakuwa anatumia akili za hovyo za viongozi wa CCM hasa ya mwenyekiti wao, hawezi kusikiliza ushauri huu wa maana...Kwa kweli kama IGP anataka kutenda HAKI basi aitishe kikao na viongozi wa UPINZANI.
..Pia ninamshauri awe HONEST, and FAIR, awaeleze wapinzani makosa yao, na akubali kusikiliza madukuduku yao.
..Huenda wanaotoa kauli kali wana machungu yao ambayo wanaona hayajashughulikiwa.
..Huu utaratibu wa kukusanya viongozi wa dini ambao ni Pro-CCM na Pro-serikali halafu kuwaelekeza wajibu hoja za wapinzani siyo suluhisho la tatizo lililopo.
..Pia namshauri kuanzia sasa aongeze msisitizo ktk suala la HAKI.
Kwakuwa anatumia akili za hovyo za viongozi wa CCM hasa ya mwenyekiti wao, hawezi kusikiliza ushauri huu wa maana.
Sheria msumeno.
''Mwamba ngozi huvutia kwake.''..siyo kwa Tz.
..sheria inatumika upande wa vyama vya upinzani tu, siyo kwa ccm.
''Mwamba ngozi huvutia kwake.''