Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro, je unasemaje kuhusu hawa askari wako? Je, kwa Tundu Lissu kuwafokea hawa askari huoni anatimiza wajibu wake wa Kikatiba?

Sirro analipa fadhira, mwenyewe anajua kwa itifaki za kipolisi nani alistahili kuwa hapo alipo
 
Roho ya upinzani imemea Sana na hasa Roho ya kuchukiwa ccm imekomaa Sana. Na hii itawatesa Sana Sana. Sana. Hata Kama sio leo au kesho lakini mwisho wa sisiemu upo karibu Sana. Iwe iwavyo kwa kura au vinginevyo lakini naiona aibu kubwa mbeleni juu ya anguko l sisiemu.
Kizazi kile cha zidumu fikra hakipo tena. Sasa tuna kizazi kinacho hoji kinataka maelezo ya kina. Ambayo mengi yahana majibu.
 
Hata hilo li siro linatumika na maccm kuwahujuma wapinzani
 
Kwa hili kwa kweli jeshi letu la polisi limepotoka!

Ueledi umekosekana!!!
 
Na ole wao watangazwe washindi kwa hila, hiyo chuki itakuwa imezidishwa maradufu. Miaka mitano itakayofuatia wataiona chungu hadi watatafuta pa kuficha nyuso zao. Nimejaribu kuongea na Watanzania wenye uchungu wa kweli na taifa lao na kwa kweli wanasononeka sana tu!

Kwa miaka 43 (1977- 2020) taifa limekuwa chini ya hiki Chama Cha Matatizo (CCM) na katika miaka hiyo Magufuli amekuwa sehemu ya uozo ndani ya serikali kwa miaka 25 (1995 - 2020). Inakuwaje mtu kama huyo ghafla asukumiziwe uongozi wa juu kabisa eti kulinyosha taifa? No way!
 
Siro anatumika , uwezo wake Ni mdogo kumbuka hata makamanda wenzie wanamzarau sana , Siro ni imposter mtu anayetumia jina dio lake , ukiingia ndani zaidi mnajua wote Nini maana yake , ndio andpelekeshwa kweli na maagizo haramu .
 
[emoji16] [emoji2] [emoji1]
Your browser is not able to display this video.
 

Kila dakika inayokwenda ndivyo Sirro anavyoshuka kwa kasi. Anazidi kudharaulika. Huwezi kuwa kondomu ya CCM ukabaki salama katika ulimwengu wa leo.
 
Kila dakika inayokwenda ndivyo Sirro anavyoshuka kwa kasi. Anazidi kudharaulika. Huwezi kuwa kondomu ya CCM ukabaki salama katika ulimwengu wa leo.
Eti anamtisha Mh. Tundu Antiphas Lissu...unaanzaje kumtisha mtu aliyemiminiwa risasi zote hizo lakini bado yupo? Kuna vitu vingine havihitaji hata kutumia akili ya wastani na kwa mtu kama Sirro hii inaelezea zaidi alivyo na upungufu mkubwa wa kinachoitwa common sense.


Sirro akiwa amepoa kwa Bashite​
 
Lingetumika neno baadhi ya polisi, siamini polisi wote wana akili kama hizo za hao. Binafsi bado siamini kuunganisha jeshi LA polisi na ujuha wa hao wachache. Mbona maeneo mengi tu tunawaona polisi wakitenda kazi zao kwa weledi? Hao wachache naamini watachukuliwa hatua ingawa hazitatangazwa hapa
 
Hushindi weweee, ingia kwenye gari uondoke hushindi weweee, wanakudanganyadanganya huko , humshindi huyo hata ufanyeje!
Your browser is not able to display this video.

OCD aapa Mh. Mbowe hashindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…