Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mtashangaa hao askari kesho wamepanda vyeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
iko wapi tanzania ya viwanda?Mimi ni Mzalendo kama Rais wetu Magufuli Siwezi kusaliti Nchi km yule kutoka ubeligiji
Hata hilo li siro linatumika na maccm kuwahujuma wapinzani
Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM?
Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea wa CCM kukandamiza uhuru na haki ya wananchi kuwapigia kura viongozi wanaowapenda?
Je, kitendo cha Mh. Tundu Antiphas Lissu kukemea vitendo vya hovyo vinavyofanywa na polisi dhidi ya upinzani ni vya kupongezwa au kubezwa?
Je, IGP anapotoa amri kwa mgombea Urais wa Chadema kuripoti kituo cha polisi ambao wapo hawa haoni kuwa ni kuhatarisha usalama wake?
Na ole wao watangazwe washindi kwa hila, hiyo chuki itakuwa imezidishwa maradufu. Miaka mitano itakayofuatia wataiona chungu hadi watatafuta pa kuficha nyuso zao. Nimejaribu kuongea na Watanzania wenye uchungu wa kweli na taifa lao na kwa kweli wanasononeka sana tu!Roho ya upinzani imemea Sana na hasa Roho ya kuchukiwa ccm imekomaa Sana. Na hii itawatesa Sana Sana. Sana. Hata Kama sio leo au kesho lakini mwisho wa sisiemu upo karibu Sana. Iwe iwavyo kwa kura au vinginevyo lakini naiona aibu kubwa mbeleni juu ya anguko l sisiemu. Kizazi kile cha zidumu fikra hakipo tena. Sasa tuna kizazi kinacho hoji kinataka maelezo ya kina. Ambayo mengi yahana majibu.
Duh..vyeti feki..huyu mupe yure murukeSiro anatumika , uwezo wake Ni mdogo kumbuka hata makamanda wenzie wanamzarau sana , Siro ni imposter mtu anayetumia jina dio lake , ukiingia ndani zaidi mnajua wote Nini maana yake , ndio andpelekeshwa kweli na maagizo haramu .View attachment 1588703View attachment 1588704
Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM?
Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea wa CCM kukandamiza uhuru na haki ya wananchi kuwapigia kura viongozi wanaowapenda?
Je, kitendo cha Mh. Tundu Antiphas Lissu kukemea vitendo vya hovyo vinavyofanywa na polisi dhidi ya upinzani ni vya kupongezwa au kubezwa?
Je, IGP anapotoa amri kwa mgombea Urais wa Chadema kuripoti kituo cha polisi ambao wapo hawa haoni kuwa ni kuhatarisha usalama wake?
Eti anamtisha Mh. Tundu Antiphas Lissu...unaanzaje kumtisha mtu aliyemiminiwa risasi zote hizo lakini bado yupo? Kuna vitu vingine havihitaji hata kutumia akili ya wastani na kwa mtu kama Sirro hii inaelezea zaidi alivyo na upungufu mkubwa wa kinachoitwa common sense.Kila dakika inayokwenda ndivyo Sirro anavyoshuka kwa kasi. Anazidi kudharaulika. Huwezi kuwa kondomu ya CCM ukabaki salama katika ulimwengu wa leo.