IGP Simon Sirro, kwanini askari polisi wanatumwa field na silaha nzito wamevaa kiraia? Kwanini unatuma askari na silaha nyingi tukio dogo la kiraia?

Tatizo labda iwe hizo silaha ila sio nguo.
Hao askari wa idara ya upepelezi, ambao kimajukumu hawavai uniform.
Kama hawavai uniform wanaonyesha silaha za nini?Hawana silaha zisizoonekana?
Ngoja wapate corona sijui hizo AK zitawasaidiaje!
Corona inatakana Mungu atusaidie,silaha haifui dafu
 
wananchi wenzako wanawajua polisi wale.hata wapande guta.

labda nikuulize.umeshwahi kumuona jambazi!!!!

achana na wale wa kwenye bongo muvie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Physiological disturbing....
Ndo maana umeleta huu uzi coz ulipata usumbufu kisaikolojia na hukutamani kuwa miongoni mwa watakaosambaratishwa na ile siraha.

Ujumbe umefika...thats the objective!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania yetu, mtu akitaka kuwa polisi, si lazima awe kijana mwenye elimu na busara.
Ni lazima awe na nguvu za kimwili na ukakamavu.
Hivyo tusishangae na matukio kama haya, ni ya kawaida kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mwalimu anayewafundisha, huwa anawafundisha pamoja na mbwa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania yetu, mtu akitaka kuwa polisi, si lazima awe kijana mwenye elimu na busara.
Ni lazima awe na nguvu za kimwili na ukakamavu.
Hivyo tusishangae na matukio kama haya, ni ya kawaida kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani ili uzaliwe wewe ilihitajika mama na baba yako wawe na elimu na busara kiasi gani!!!!mbona ulizaliwa na unakamilisha idadi ya watz 60mln na bado wanashukuru hivyo hivyo japo mtu mwenyewe ndio hivi tia maji tia maji.

huko polisi kuna watu wana elimu kubwa kukuzidi,ila busara hata kampuni iliyokuajiri haikukupima unayo kiasi gani maana vipimo hivyo havipo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mwalimu wako wa taaluma wakati akiwafundisha, mnachanganywa na mbwa basi ujue tayari hapo lipo tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una hoja ya msingi sana. Hawa watu hawatimizi wajibu wao inavyopaswa ndiyo maana wanapata muda mchafu wa kufanya mambo ya kijinga. Hapo hata mkuu wa wilaya na kitambi chake hakupaswa kuwepo. Huu ni usanii wa viongozi na polisi unaotumiwa sana awamu hii ili kumdanganya rais kuwa wanatekeleza wajibu wao. Unakumbuka enzi za utoto wakati tukipewa kazi tunavyobuni vitu vya kijinga ili tuonekane tunachapa kazi?
 
Mkuu hujawazoea tu? Wao ubabe wao kwa raia wakawaida. Penye mtiti wa kweli hawaonekanwi. Jaribu kwapigia simu usiku halafu uwambie kama nyumba imezungukwa na majambazi kama watatokeza.
Huwa kuna kikosi cha kushughulikia ujambazi na cha matukio ya kawaida ya raia watukutu.

Sasa kama wale wa ujambazi wana upungufu kwenye utendaji ni wao, sisi huku wa kudili na raia watukutu huwa tunajituma.
 
Sasa unaniuliza niliebeba mpaka mtondoo. Au unadhani natania mkuu? Maskani kwetu sisi wanakuja sana na hatuna izo kwasababu hatuna Mob la wasela mavi, kwanzia pusha mpaka wadau watu na maisha yao wanavuta kwa starehe tu, Kwani wamekamata mara moja Ilo pilar la khaki la Gogoni nani hajui maskani naongelea mvua imeninyeshea Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…