IGP Simon Sirro, kwanini askari polisi wanatumwa field na silaha nzito wamevaa kiraia? Kwanini unatuma askari na silaha nyingi tukio dogo la kiraia?

IGP Simon Sirro, kwanini askari polisi wanatumwa field na silaha nzito wamevaa kiraia? Kwanini unatuma askari na silaha nyingi tukio dogo la kiraia?

Tatizo labda iwe hizo silaha ila sio nguo.
Hao askari wa idara ya upepelezi, ambao kimajukumu hawavai uniform.
Kama hawavai uniform wanaonyesha silaha za nini?Hawana silaha zisizoonekana?
Ngoja wapate corona sijui hizo AK zitawasaidiaje!
Corona inatakana Mungu atusaidie,silaha haifui dafu
 
Acha upumbavu, mleta hoja ana point nzuri tuu. Inakuwaje askari yuko katika nguo zisizomtambulisha anabeba silaha?
Na bahati mbaya sio kwenye operesheni tuu, Bali hata mtaani waweza kukutana naye SMG Inaning'inia begani.
Jambo hilo ni hatari kwani RAIA waweza mdhania ni jambazi na madhara makubwa kwake na kwa RAIA kutokea.
Pili hata majambazi waweza kutumia mwanya huo kuhamisha silaha toka sehemu mchana kweupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
wananchi wenzako wanawajua polisi wale.hata wapande guta.

labda nikuulize.umeshwahi kumuona jambazi!!!!

achana na wale wa kwenye bongo muvie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo ambalo linazidi kuenea Tanzania. Mara nyingi unakuta askari polisi wanatumwa kwenye tukio linalohitaji silaha (japo ni machache Tanzania) huku wakiwa wamesheheni silaha na bado wamevaa kiraia. Kwa nini wanafanya hivyo? Je inaruhusiwa kwa askari polisi aliye kwenye response unit kwenda akiwa na silaha kamili za kuingia filed lakini akawa amevaa kiraia?

Nimeangalia askari walioenda kumkamata huyu mama wa Iringa alietoroka kambi ya Corona, na karibu askari wote walioenda walikuwa wamesheheni silaha lakini wamevaa kiraia.

Halafu, hili tukio si la ujambazi. Kwa nini Polisi wapeleke kikosi chenye uzito wa silaha kiasi hiki kumkamata mwanamke mmoja aliekimbia kambi ya Corona? Hivi polisi wetu wanawashwa kubeba silaha na kuzitumia?

Nchi haiko vitani, unapeleka kikosi cha polisi kumkamata mwanamke mmoja aliyetoroka kambi ya Corona utafikiri unaenda kumkamata kiongozi wa Al-Qaeda, Unataka kumtisha nani na askari wako na silaha zao, wananchi wa Tanzania?

Unapeleka askari na silaha kwenye tukio dogo kama hili utafikiri huyo mwanamke ndio Corona yenyewe unaenda kuikamata! Mkitukanwa mnatumia nguvu badala ya busara mnalalamika. Hii display ya force kwenye tukio kama hili inawasaidia nini hasa? Polisi badilikeni. Mnatuaibisha.

Siku moja askari wako wenye silaha na wamevaa kiraia watakuja kuuwawa wakidhaniwa ni majambazi.

View attachment 1407862

View attachment 1407865
Physiological disturbing....
Ndo maana umeleta huu uzi coz ulipata usumbufu kisaikolojia na hukutamani kuwa miongoni mwa watakaosambaratishwa na ile siraha.

Ujumbe umefika...thats the objective!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania yetu, mtu akitaka kuwa polisi, si lazima awe kijana mwenye elimu na busara.
Ni lazima awe na nguvu za kimwili na ukakamavu.
Hivyo tusishangae na matukio kama haya, ni ya kawaida kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi jamaa kanitia mashaka,harafu anatoa povu kinoma,inawezekana aliekamatwa ni mama yake walitaka kumtetea ila askari wakawa wengi. Hakuna kujiamini kama haujui nguvu ya mpinzani wako,hivyo ndivyo askari wanafundishwa.[emoji2][emoji2][emoji2]

macson
Huyu mwalimu anayewafundisha, huwa anawafundisha pamoja na mbwa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania yetu, mtu akitaka kuwa polisi, si lazima awe kijana mwenye elimu na busara.
Ni lazima awe na nguvu za kimwili na ukakamavu.
Hivyo tusishangae na matukio kama haya, ni ya kawaida kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani ili uzaliwe wewe ilihitajika mama na baba yako wawe na elimu na busara kiasi gani!!!!mbona ulizaliwa na unakamilisha idadi ya watz 60mln na bado wanashukuru hivyo hivyo japo mtu mwenyewe ndio hivi tia maji tia maji.

huko polisi kuna watu wana elimu kubwa kukuzidi,ila busara hata kampuni iliyokuajiri haikukupima unayo kiasi gani maana vipimo hivyo havipo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani ili uzaliwe wewe ilihitajika mama na baba yako wawe na elimu na busara kiasi gani!!!!mbona ulizaliwa na unakamilisha idadi ya watz 60mln na bado wanashukuru hivyo hivyo japo mtu mwenyewe ndio hivi tia maji tia maji.

huko polisi kuna watu wana elimu kubwa kukuzidi,ila busara hata kampuni iliyokuajiri haikukupima unayo kiasi gani maana vipimo hivyo havipo.



Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mwalimu wako wa taaluma wakati akiwafundisha, mnachanganywa na mbwa basi ujue tayari hapo lipo tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huko wameenda kupeleza kitu gani? Uliona askari anaenda kupeleleza kajivalisha mibomu ya machozi kama hana akili sawa?

Askari wawili wenye SMG walitosha kabisa, na hata bila kuwa na silaha isingekuwa tatizo. Hata mmoja, kwa sababu hili sio tukio ambalo lingeweza kuleta vurugu.

Au labda huyo mwanamke ni mwanachama wa Chadema!
Mkuu una hoja ya msingi sana. Hawa watu hawatimizi wajibu wao inavyopaswa ndiyo maana wanapata muda mchafu wa kufanya mambo ya kijinga. Hapo hata mkuu wa wilaya na kitambi chake hakupaswa kuwepo. Huu ni usanii wa viongozi na polisi unaotumiwa sana awamu hii ili kumdanganya rais kuwa wanatekeleza wajibu wao. Unakumbuka enzi za utoto wakati tukipewa kazi tunavyobuni vitu vya kijinga ili tuonekane tunachapa kazi?
 
Mkuu hujawazoea tu? Wao ubabe wao kwa raia wakawaida. Penye mtiti wa kweli hawaonekanwi. Jaribu kwapigia simu usiku halafu uwambie kama nyumba imezungukwa na majambazi kama watatokeza.
Huwa kuna kikosi cha kushughulikia ujambazi na cha matukio ya kawaida ya raia watukutu.

Sasa kama wale wa ujambazi wana upungufu kwenye utendaji ni wao, sisi huku wa kudili na raia watukutu huwa tunajituma.
 
wewe mama acha visa.

umeshawahi shuhudia ukamataji wa polisi eneo lolote,ukafanikiwa bila pingamizi???

huku mtaani tuna usela mavi sana wa kujifanya wapigania haki tusizozijua,visa kibao vya polisi kudhulika ama kushindwa kutekeleza majukumu yao vimeripotiwa.na nyinyi humu ndio wa kwanza kubeza.

zile silaha sio kwa ajili ya mauzo zinapiga kweli.


Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unaniuliza niliebeba mpaka mtondoo. Au unadhani natania mkuu? Maskani kwetu sisi wanakuja sana na hatuna izo kwasababu hatuna Mob la wasela mavi, kwanzia pusha mpaka wadau watu na maisha yao wanavuta kwa starehe tu, Kwani wamekamata mara moja Ilo pilar la khaki la Gogoni nani hajui maskani naongelea mvua imeninyeshea Mkuu.
 
Back
Top Bottom