Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro, mchukulie hatua kali OCD wilaya ya Hai

Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro, mchukulie hatua kali OCD wilaya ya Hai

IGP SIRO, wananchi tunaomba uchukue hatua stahiki kwa huyu askari kabla hali haijawa mbaya, huyu OCD ameweka historia na rekodi mbaya kwa mara ya kwanza katika Tanzania. Afande IGP usipochukua hatua kwa huyu askari chochote kitakachotokea nawe itahusika, tunaamini umeona na umesikia. Huyu OCD ni wazi kuwa anatumiwa kisiasa na hatutakubali kuwa na askari kama huyu atatuletea maafa, huyu siyo kiongozi.
 
Ni wazi kabisa kwamba huyu OCD amelichafua na kulidhalilisha kwa kiasi kikubwa sana Jeshi la polisi nchini. Haiwezekani kiongozi ambaye ni well trained kwenye maduka ya kijeshi anaongea ujinga kiasi hicho. Polisi ni kazi ya shurba siku zote, ukitaka kuifanya upendavyo wewe utamaliza watu. Ni kazi ya heshima na hekima inayohitaji utulivu na busara katika kuamua...
Sirro yupi unayemsema , huyu aliyepeleka mamluki Zanzibar ? Thubutu !
 
Inwezekana alichoongea OCD ni maelekezo toka juu, so yeye anatekeleza tuu.
Ila kafichua siri yao
 
OCD anatetea ugali wake. Bahati mbaya sana hawa ndio wanaopendwa na magu.
 
Ameonesha ushabiki na uzalendo wa waziwazi.
Jeshi la polisi mnatakiwa kutokuonesha hisia zenu za kisiasa.

Hata kama una sababu binafsi za kuhakikisha kuwa unaemtaka ashinde utampigania kwa gharama yeyote ile.

Hata kama ni ndg yako.
Sidhani kama ni uzalendo.Nadhani ni .........
 
Ameonesha ushabiki na uzalendo wa waziwazi.
Jeshi la polisi mnatakiwa kutokuonesha hisia zenu za kisiasa.

Hata kama una sababu binafsi za kuhakikisha kuwa unaemtaka ashinde utampigania kwa gharama yeyote ile.

Hata kama ni ndg yako.
Kwa jinsi hii tunaweza kuona kabisa uchaguzi huu walishatumwa na kuagizwa utekelezaji wa uvunjifu amani.
NEC kuweni makini hawa poliCCM watakuharibieni na kama yuko aliye juu zaidi yatamkuta.
Amani yetu mikononi mwenu. Haki haki haki!
 
Ni wazi kabisa kwamba huyu OCD amelichafua na kulidhalilisha kwa kiasi kikubwa sana Jeshi la polisi nchini. Haiwezekani kiongozi ambaye ni well trained kwenye maduka ya kijeshi anaongea ujinga kiasi hicho. Polisi ni kazi ya shurba siku zote, ukitaka kuifanya upendavyo wewe utamaliza watu. Ni kazi ya heshima na hekima inayohitaji utulivu na busara katika kuamua...
Amchukulie hatua kwa kosa gani si uhuru na demokrasia hajamtukana mtu bali kamwambia ukweli ...sasa mlitaka polisi aseme atashinda ili msemeje chama fulani bwana wao wakiongea sawa wengine wakiongea kama wao eti wachukuliwe hatua.
 
Back
Top Bottom