mkara mshamba
Senior Member
- Jan 15, 2020
- 105
- 103
Huyu OCD kalopoka tu lakini mpango mzima anaufahamu, kwa ilo SIRO hana ubavu nalo ni maagizo toka kwa mtukufuNi wazi kabisa kwamba huyu OCD amelichafua na kulidhalilisha kwa kiasi kikubwa sana Jeshi la polisi nchini. Haiwezekani kiongozi ambaye ni well trained kwenye maduka ya kijeshi anaongea ujinga kiasi hicho. Polisi ni kazi ya shurba siku zote, ukitaka kuifanya upendavyo wewe utamaliza watu. Ni kazi ya heshima na hekima inayohitaji utulivu na busara katika kuamua.
IGP SIRO, wananchi tunaomba uchukue hatua stahiki kwa huyu askari kabla hali haijawa mbaya, huyu OCD ameweka historia na rekodi mbaya kwa mara ya kwanza katika Tanzania. Afande IGP usipochukua hatua kwa huyu askari chochote kitakachotokea nawe itahusika, tunaamini umeona na umesikia. Huyu OCD ni wazi kuwa anatumiwa kisiasa na hatutakubali kuwa na askari kama huyu atatuletea maafa, huyu siyo kiongozi.
View attachment 1593625
View attachment 1593763