Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ndio umejiunga humu jf mwezi wa sita kuja kuongea huu upuuzi?Was mimi Hibiscus 80
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio umejiunga humu jf mwezi wa sita kuja kuongea huu upuuzi?Was mimi Hibiscus 80
Kamanda tuna hali mbaya sana,Mbowe alitakiwa apande gari aondoke.Ukiitetea ccm automatically unakuwa juu ya sheria, hivyo huwezi kuchukuliwa hatua yoyote.
Sasa ukijiunga juzi na ukijiunga miaka mingi Kuna tofauti gani?Ndio umejiunga humu jf mwezi wa sita kuja kuongea huu upuuzi?
*kumbukeni Mimi cpangiwi* huyo atapandishwa cheo maan waovu ndo hupendwa na watawala wavunjasheria n waovu wenzao.Amchukulie hatua anathubutu?
Ajaribu kama hajarudishwa yeye nyumbani kumsaidia mkewe kukata kata vitunguu,huyo OCD wa hai tactically ameshachukua uelekeo wa maisha, awamu hii wengi wanakula na kipofu.
Oneni hii mbuzi ingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787]OCD NA RPC sio vyeo ni madaraka.
October 28 kura zote ni kwa JPM.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
umambo ambayo hayatokei kwa BAHATI MBAYA!!Sikiliza vizuri lafudhi ya askari.Ni wazi kabisa kwamba huyu OCD amelichafua na kulidhalilisha kwa kiasi kikubwa sana Jeshi la polisi nchini. Haiwezekani kiongozi ambaye ni well trained kwenye maduka ya kijeshi anaongea ujinga kiasi hicho. Polisi ni kazi ya shurba siku zote, ukitaka kuifanya upendavyo wewe utamaliza watu. Ni kazi ya heshima na hekima inayohitaji utulivu na busara katika kuamua.
IGP SIRO, wananchi tunaomba uchukue hatua stahiki kwa huyu askari kabla hali haijawa mbaya, huyu OCD ameweka historia na rekodi mbaya kwa mara ya kwanza katika Tanzania. Afande IGP usipochukua hatua kwa huyu askari chochote kitakachotokea nawe itahusika, tunaamini umeona na umesikia. Huyu OCD ni wazi kuwa anatumiwa kisiasa na hatutakubali kuwa na askari kama huyu atatuletea maafa, huyu siyo kiongozi.
Tafuta cheo cha Polisi kinachoitwa OCD au RPC...hayo ni Madaraka aiseeOneni hii mbuzi ingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwa sababu ya uhuni wa plc siyo,sasa pamoja na uhuni na ujinga wa plc Mbowe atashinda pale hai wananchi watamchagua. ``Plc wetu wanahitaji kukombolewa toka kwenye makucha ya ccm ''sauti ya Lisu ikisikika akiwa Kiluvya''Ila ukweli NI kuwa hatashinda
Kamanda tuna hali mbaya sana,Mbowe alitakiwa apande gari aondoke.View attachment 1593607
Sasa ukijiunga juzi na ukijiunga miaka mingi Kuna tofauti gani?
Yaaani nyinyi NI waking Sana ndio maana magu anawanyoosha
Umeshajiona una hati miliki ya if kiss umejiunga miaka mingi
Sasa kwa taarifa yako mm Niko humu tangu inaanzishwa jf na bado siwezi kudharau mtu aliyejiunga jana
Sis wote ni swa
Hi ni Id yangu mpya tu
Kama Jf tu mnafanya ubaguzi Sasa mkipewa nchi itakuwaje hahahaaa
Kwa hyo unataka ujue mpaka sababu zangu za kufungua idNasema hivi, umejiunga juzi ili uje umwage uharo humu ndani? Kama una Id nyingine hii umefungua ya nini?
Acha hasira kamanda mwenzangu,tunawekana sawa tu.Ww si nilikuambia hiyo huduma yako situmii?
Kwa hyo unataka ujue mpaka sababu zangu za kufungua id
Ni kweli, na mimi ndio nilichofanya cha kukuweka sawa ila naona huelewi.Acha hasira kamanda mwenzangu,tunawekana sawa tu.
Ana Roho yenye ubaya mkubwa,in mtu aliyekosa kuijua,amekosa kujua nini heshima,hivi huyu anaweza kuisimamia haki?Ni wazi kabisa kwamba huyu OCD amelichafua na kulidhalilisha kwa kiasi kikubwa sana Jeshi la polisi nchini. Haiwezekani kiongozi ambaye ni well trained kwenye maduka ya kijeshi anaongea ujinga kiasi hicho. Polisi ni kazi ya shurba siku zote, ukitaka kuifanya upendavyo wewe utamaliza watu. Ni kazi ya heshima na hekima inayohitaji utulivu na busara katika kuamua.
IGP SIRO, wananchi tunaomba uchukue hatua stahiki kwa huyu askari kabla hali haijawa mbaya, huyu OCD ameweka historia na rekodi mbaya kwa mara ya kwanza katika Tanzania. Afande IGP usipochukua hatua kwa huyu askari chochote kitakachotokea nawe itahusika, tunaamini umeona na umesikia. Huyu OCD ni wazi kuwa anatumiwa kisiasa na hatutakubali kuwa na askari kama huyu atatuletea maafa, huyu siyo kiongozi.
View attachment 1593625