Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro, mchukulie hatua kali OCD wilaya ya Hai

 
Sirro yupi unayemsema , huyu aliyepeleka mamluki Zanzibar ? Thubutu !
 
Inwezekana alichoongea OCD ni maelekezo toka juu, so yeye anatekeleza tuu.
Ila kafichua siri yao
 
OCD anatetea ugali wake. Bahati mbaya sana hawa ndio wanaopendwa na magu.
 
Ameonesha ushabiki na uzalendo wa waziwazi.
Jeshi la polisi mnatakiwa kutokuonesha hisia zenu za kisiasa.

Hata kama una sababu binafsi za kuhakikisha kuwa unaemtaka ashinde utampigania kwa gharama yeyote ile.

Hata kama ni ndg yako.
Sidhani kama ni uzalendo.Nadhani ni .........
 
kuna dalili ya OCD kibarua chake kuota nyasi
 
Ameonesha ushabiki na uzalendo wa waziwazi.
Jeshi la polisi mnatakiwa kutokuonesha hisia zenu za kisiasa.

Hata kama una sababu binafsi za kuhakikisha kuwa unaemtaka ashinde utampigania kwa gharama yeyote ile.

Hata kama ni ndg yako.
Kwa jinsi hii tunaweza kuona kabisa uchaguzi huu walishatumwa na kuagizwa utekelezaji wa uvunjifu amani.
NEC kuweni makini hawa poliCCM watakuharibieni na kama yuko aliye juu zaidi yatamkuta.
Amani yetu mikononi mwenu. Haki haki haki!
 
Amchukulie hatua kwa kosa gani si uhuru na demokrasia hajamtukana mtu bali kamwambia ukweli ...sasa mlitaka polisi aseme atashinda ili msemeje chama fulani bwana wao wakiongea sawa wengine wakiongea kama wao eti wachukuliwe hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…