Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro, mchukulie hatua kali OCD wilaya ya Hai

Afande siro hawezi kumchukulia hatua huyo hata chembe,sana sana atamlinda kimaneno tu au atakaa kimya kama hajasikia na pengine aseme hana taarifa na hana wakati na habari za mitandaoni ,Siro anajua kupangua vibaya sana ni mkali wa kupangua.
 
OCD NA RPC sio vyeo ni madaraka.

October 28 kura zote ni kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Tatizo lako ni ubongo wako .mwaka 2010 mlisema JK anatosha mmeishia kujilaumu.. Kwa akili yangu ndogo ninahisi CCM Wana Tabia ya kuona ndugu kwa ndugu hivyo akili zinafanana.
 
Kila aliyeiona clip ya polisi wilaya ya Hai akimhakikiahia Mbowe kuwa hatashinda naamini kuwa atakuwa ameshtuka sana kwa upotokaji wa afisa huyu wa jeshi letu tunalotegemea kutokuinesha ushabiki au msimamo binafsi wa kisiasa.
Alisema hatashinda nini? Ulimsikia akisema hatashinda uchaguzi? Au ulimsikia akisema hatamshinda MTU Fulani akimtaja jina?
 
Kwa kauli ile ya OCD, moja kwa moja ni msukuma. Sasa wasukuma huu ndyo utawala wao nani amtumbue. Ukute hata simu kashapigiwa anaambiwa chapa kazi mwanawane.
 
Tatizo lako ni ubongo wako .mwaka 2010 mlisema JK anatosha mmeishia kujilaumu.. Kwa akili yangu ndogo ninahisi CCM Wana Tabia ya kuona ndugu kwa ndugu hivyo akili zinafanana.
Kila anayepewa bendera na CCM ujue ANATOSHA, sijui kama umeenda shule kweli?

Wewe ulitaka JK aendelee licha ya kumaliza vipindi vyake viwili tena kwa mafanikio makubwa.

October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Wewe ni bogus tu, huna tofauti na huyo OCD, kuthibitisha ulivyokosa akili umerudia maneno yaleyale ya OCD yanayolalamikiwa, usilete ushabiki wa kisiasa hapa mtavuna mnachopanda na maigizo yenu ya kijinga.

OCD mwenyewe anaonekana ame panic tu, na lile gari walivyoondoa kwa spidi ile wangesababisha ajali pale sijui wangesema nini, huyo OCD ni mfano wa viongozi wa ajabu waliopata madaraka awamu hii ya washamba.
 
Sio lazima OCD aondolewe, Mbowe ana wanyanyasa sana Polisi na watumishi wa serikali huku kwetu machame karibu kila mkutano wake..

Amalipwa stahiki yake tuu.
 
Kuna watu wanajisahaulisha kua hivi vyeo na madaraka ni vitu vyakupita tu.leo unacho kesho huna.Hapo huyo polisi anajiona mjanja na ufahari kufanya hayo anasahau hicho kiburi alichonacho leo kina mwisho.
 
Kila anayepewa bendera na CCM ujue ANATOSHA, sijui kama umeenda shule kweli?

Wewe ulitaka JK aendelee licha ya kumaliza vipindi vyake viwili tena kwa mafanikio makubwa.

October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
CCM mlikotutoa ndiko tuliko. CCM ni lazima kiwe KANU soon. Ili kuondoa ukoo wa panya. Ukivaa nguo ya kijana hata Kama hufai ccm wanasema unafaa. Tatizo Wengi mnaoishi kwa ndugu na wajomba
 
Thubutuuu.
Wote wanafanana hao
 
CCM mlikotutoa ndiko tuliko. CCM ni lazima kiwe KANU soon. Ili kuondoa ukoo wa panya. Ukivaa nguo ya kijana hata Kama hufai ccm wanasema unafaa. Tatizo Wengi mnaoishi kwa ndugu na wajomba
Kiongezi wetu ndugu panya buku usihamishie msongo wako wa mawazo kwa watu wote....hakuna chama cha siasa kitakujengea nyumba au kukuletea chakula mezani, kwahiyo kufanya kazi ni muhimu sana ndio maana miaka 5 iliyopita tulisisitiza HAPA KAZI TUU.

Kwahiyo ni muhimu ukajua msingi wa maendeleo ni kazi na serikali zipo katika kuhakikisha zinatengeneza mazingira mazuri kufikia ya watu kupata maendeleo.

October 29 ni kusheherekea USHINDI wa Kishindo wa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kiongezi wetu ndugu panya buku usihamishie msongo wako wa mawazo kwa watu wote....hakuna chama cha siasa kitakujengea nyumba au kukuletea chakula mezani, kwahiyo kufanya kazi ni muhimu sana ndio maana miaka 5 iliyopita tulisisitiza HAPA KAZI TU...
Hakuna asiyekuwa na ufahamu wa hayo,hata mtoto mdogo anafahamu-Ukweli ni kwamba kwenye kutengeneza mazingira wezeshi kwa mwananchi wa kawaida serikali hii imekuwa hopeless.
 
Kiongezi wetu ndugu panya buku usihamishie msongo wako wa mawazo kwa watu wote....hakuna chama cha siasa kitakujengea nyumba au kukuletea chakula mezani, kwahiyo kufanya kazi ni muhimu sana ndio maana miaka 5 iliyopita tulisisitiza HAPA KAZI TU....
Mwenyekiti wa chama anatokea mkoa wa Geita, kutoka Geita kwenda kagera ni kms 309 anakotoka katibu Mkuu wa CCM. Kutoka mkoa wa Geita kwenda mkoa wa Mara ni kms 298 anakotoka katibu mwenezi na itikati wa CCM.

Mikoa yote hiyo mitatu iko Kanda ya ziwa na kwa asilimia kubwa wanaongea Lugha moja au wanasikilizana. CCM hamjifunzi kitu hapo? Pia hamjajua kuwa ccm uongozi wa huu hautakaa utoke mikoa hiyo kupelekwa songea au rings ua Morogoro? Sasa hapo ukipona mantra ujue kaliwa
 
Kiongezi wetu ndugu panya buku usihamishie msongo wako wa mawazo kwa watu wote....hakuna chama cha siasa kitakujengea nyumba au kukuletea chakula mezani, kwahiyo kufanya kazi ni muhimu sana ndio maana miaka 5 iliyopita tulisisitiza HAPA KAZI TU.
Mwenyekiti wa chama anatokea mkoa wa Geita, kutoka Geita kwenda kagera ni kms 309 anakotoka katibu Mkuu wa CCM. Kutoka mkoa wa Geita kwenda mkoa wa Mara ni kms 298 anakotoka katibu mwenezi na itikati wa CCM.

Mikoa yote hiyo mitatu iko Kanda ya ziwa na kwa asilimia kubwa makabila yake wanaongea Lugha moja au wanasikilizana. CCM hamjifunzi kitu hapo?

Pia hamjajua kuwa ccm uongozi wa huu hautakaa utoke mikoa hiyo kupelekwa songea au iringa ua Morogoro? Sasa hapo ukiona manywea ujue kaliwa. Kwa kifupi mtajuta muda si mrefu.
 
Jeshi la polisi limekuwa hovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…