Binadamu ukishaanza kuona unaogopa kutetea haki yako kwa kuogopa jela au kuangalia watu wengine,jua huna tofauti na maiti.Nyinyi endeleeni kumvimbisha kichwa tu huyo Lissu. Atakapoanza kunyea ndoo mtakaa kimyaa kama wakati ule Faru John ananyea ndoo mlikuwa mbaliii.
Kiboko yao hii hapa, endeleeni kutafuta maisha ya ustaafu gerezani.Amesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa.
Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu wangu, namuonya sana, jana nimeongea na Mbowe, akae azungumze na watu wake watii sheria bila shuruti.
"Tundu Lissu hayupo juu ya sheria, tukiamua kutimiza majukumu yetu asilalamike,"IGP Simon Sirro
View attachment 1587125
Being neutral, Lissu ni hovyo tu! Anajipa ushujaa wa kihayawani!
Lissu anawahenyesha kama watoto wadogo yaani, achilia mbali PhD zaoHahahahahha, dah nimecheka sana mkuu
Sirro mwenyewe moyoni anamkubali Mwanasheria mwenzake. Watu wana vitu moyoni wamevifichaHaya tusubiri tuone, ataenda au atakaidi Amri ya askari wetu?
Soma hiyooooo, ya leoleo bado ya motoooo.Safi sana, fungia kufanya kampeni kabisa, kinukisheni sasa tuone, ...
Chukua hatua sasa..Jeshi haliwezi kuwashinda wananchi. Hata siku moja. Watashindana lakini hawatashinda.
Niliiona pia ile clip Twitter kwa Kigogo 2014. Huyu mzee hovyo kabisa.Kazi imeanza. Toka siku ile nimemwona jamaa akiwanadi binti zake basi nimemuweka kando
Mwenye malalamiko apeleke kwenye kamati ya maadili ya NecAlihutubia watu usiku. Baada ya saa 12 jioni.
Mbona wewe umejificha nyuma ya keyboard kama kweli huogopi?Binadamu ukishaanza kuona unaogopa kutetea haki yako kwa kuogopa jela au kuangalia watu wengine,jua huna tofauti na maiti.
Msaliti Lissu.
Kumbe ni kilema kweli!!Ni yeyeeee...View attachment 1587153
Kwanini wasimkamate wakati msafara wake una escort ya Polisi?Ndo keshaitwa Polisi sasa, ingia barabarani tuone, ...
Ukimuuliza sheria ipi amevunja halina majibu kwa sabab linatumika limepigwa beat na jiwe hovyo kabisaAmesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa.
Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu wangu, namuonya sana, jana nimeongea na Mbowe, akae azungumze na watu wake watii sheria bila shuruti.
"Tundu Lissu hayupo juu ya sheria, tukiamua kutimiza majukumu yetu asilalamike,"IGP Simon Sirro
View attachment 1587125