IGP Sirro anasema hawezi kumkamata Askofu Gwajima mpaka apate barua. Je, hivi ndivyo anafanya kwa makundi yote?

Serikali inahimiza wananchi waende kuchanja uviko-19 unaua vs Askafu anashawishi waumini wake wasichanje kujikinga na uviko-19.Mwisho wa siku ni mtu binafsi ataadhirika.Mwenyezi Mungu utuongoze tuwe na mwisho mwema.
 
Hivi IGP akistaafu huwa anakuwa na magari mangapi nyumbani kwake kwa ajili ya matumizi yake...???
 
Imekuwa kawaida kwa viongozi wa vyama vya upinzani kukamatwa kwa maagizo ya mdomo ya 'wakubwa' chamani na Serikalini. Wakubwa wanapochafukwa, huagiza kukamatwa kwa kiongozi huyu au yule wa upinzani au hata wanachama wa kawaida. Kukamatwa LAZIMA kutanguliwe na maagizo.

Waziri wa Afya Dr. Doroth Gwajima ameagiza kukamatwa kwa Askofu Gwajima kwa kile alichodai kuwa Askofu huyo anaupotosha umma juu ya chanjo ya Corona. Ghafla, akajitokeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Siro na kutoa kauli. Kauli yake ni kuwa bado hawajapata maagizo ya maandishi ya kumkamata Askofu Gwajima.

IJP Siro amesema kuwa baada ya kupata maandishi hayo, Polisi watapembua kuona kama kuna jinai au la ili hatua stahiki zichukuliwe. Amedai kuwa maagizo ya Waziri ya kumkamata Askofu Gwajima ameyaona mtandaoni.

Mara ngapi watu wamekuwa wakikamatwa kwa kauli tu za viongozi? Mara ngapi viongozi wa upinzani na wanachama wao wamekamatwa kwa maagizo ya mdomo ya viongozi wa chama tawala na Serikali? Lini na wapi Polisi walisubiri maandishi?

Agizo la kukamatwa lingewahusu Joseph Mbilinyi wa CHADEMA au Zitto Kabwe wa ACY-Wazalendo, IJP Siro na Polisi wote wangesubiri maandishi?

Askofu Gwajima akamatwe ili saga liishe!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
huyo ni mchumia tumbo
 
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam, Polisi ni mali yetu, wanafanya tunachoagiza wenye
nchi yetu Tanzania. Hayo maburura mengine sweka ndani, hata ua, poteza kila inapowezekana kwani hao ni raia daraja la tano wa nchi hii. Usijifanye huelewi. Mtu awaamshe waliolala, wakiamka mkate/kitumbua kitatoka wapi?
 
Napata picha halisi kwamba ndani ya CCM mambo si swari kama tunavyoaminishwa kwa jicho la nje.
 
Imekuwa kawaida kwa viongozi wa vyama vya upinzani kukamatwa kwa maagizo ya mdomo ya 'wakubwa' chamani na Serikalini. Wakubwa wanapochafukwa, huagiza kukamatwa kwa kiongozi huyu au yule wa upinzani au hata wanachama wa kawaida. Kukamatwa LAZIMA kutanguliwe na maagizo.

Waziri wa Afya Dr. Doroth Gwajima ameagiza kukamatwa kwa Askofu Gwajima kwa kile alichodai kuwa Askofu huyo anaupotosha umma juu ya chanjo ya Corona. Ghafla, akajitokeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Siro na kutoa kauli. Kauli yake ni kuwa bado hawajapata maagizo ya maandishi ya kumkamata Askofu Gwajima.

IJP Siro amesema kuwa baada ya kupata maandishi hayo, Polisi watapembua kuona kama kuna jinai au la ili hatua stahiki zichukuliwe. Amedai kuwa maagizo ya Waziri ya kumkamata Askofu Gwajima ameyaona mtandaoni.

Mara ngapi watu wamekuwa wakikamatwa kwa kauli tu za viongozi? Mara ngapi viongozi wa upinzani na wanachama wao wamekamatwa kwa maagizo ya mdomo ya viongozi wa chama tawala na Serikali? Lini na wapi Polisi walisubiri maandishi?

Agizo la kukamatwa lingewahusu Joseph Mbilinyi wa CHADEMA au Zitto Kabwe wa ACY-Wazalendo, IJP Siro na Polisi wote wangesubiri maandishi?

Askofu Gwajima akamatwe ili saga liishe!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
uwezo wa siro kukamata unaishia kwa upinzani amkamate bishop wetu kama hajipendi
 
Serikali inahimiza wananchi waende kuchanja uviko-19 unaua vs Askafu anashawishi waumini wake wasichanje kujikinga na uviko-19.Mwisho wa siku ni mtu binafsi ataadhirika.Mwenyezi Mungu utuongoze tuwe na mwisho mwema.
siyo waumini wake tu, anauhadaa umma wa watanzania wasiitikie wito wa Rais wa nchi kwenda kuchanja - Siro bado haoni huu ni uhalifu? au anasubiri amri ya kumkamata Sugu na Heche hata kama ni usiku wa manane lazima awatume vijana wake.
 
Jamaa Sirro mjanja sana, hataki msala kama wa sabaya wa kupokea tu maagizo ya wakubwa bila official statement kimaandishi.

hii ni nzuri kama akija kupata msala kama sabaya anaonesha evidences za maagizo hayo kimaandishi
Wakati Mbowe anakamatwa Mwanza kulikuwa na maandishi? Unajua hii nepotism ndio huwa inaleta mikanganyiko katika nchi. Angemweka selo kwanza Gwajima ndipo adai maandishi, kama wanavyofanya kwa wapinzani
 
Imekuwa kawaida kwa viongozi wa vyama vya upinzani kukamatwa kwa maagizo ya mdomo ya 'wakubwa' chamani na Serikalini. Wakubwa wanapochafukwa, huagiza kukamatwa kwa kiongozi huyu au yule wa upinzani au hata wanachama wa kawaida. Kukamatwa LAZIMA kutanguliwe na maagizo.

Waziri wa Afya Dr. Doroth Gwajima ameagiza kukamatwa kwa Askofu Gwajima kwa kile alichodai kuwa Askofu huyo anaupotosha umma juu ya chanjo ya Corona. Ghafla, akajitokeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Siro na kutoa kauli. Kauli yake ni kuwa bado hawajapata maagizo ya maandishi ya kumkamata Askofu Gwajima.

IJP Siro amesema kuwa baada ya kupata maandishi hayo, Polisi watapembua kuona kama kuna jinai au la ili hatua stahiki zichukuliwe. Amedai kuwa maagizo ya Waziri ya kumkamata Askofu Gwajima ameyaona mtandaoni.

Mara ngapi watu wamekuwa wakikamatwa kwa kauli tu za viongozi? Mara ngapi viongozi wa upinzani na wanachama wao wamekamatwa kwa maagizo ya mdomo ya viongozi wa chama tawala na Serikali? Lini na wapi Polisi walisubiri maandishi?

Agizo la kukamatwa lingewahusu Joseph Mbilinyi wa CHADEMA au Zitto Kabwe wa ACY-Wazalendo, IJP Siro na Polisi wote wangesubiri maandishi?

Askofu Gwajima akamatwe ili saga liishe!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ndiyo maana watu wahisi ngwajima anatumwa na viongozi, Igp amejidhihirisha mwenyewe

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom