Jee askofu mwamakula na shehe ponda ni watumishi wa shetani?Gwajima ni mtumishi wa Mungu sio sawa kumlinganisha na walevi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jee askofu mwamakula na shehe ponda ni watumishi wa shetani?Gwajima ni mtumishi wa Mungu sio sawa kumlinganisha na walevi
Inspekta Jenerali wa Polisi, Ona Sasa wewe umeonekana ndiye Kilaza.I.J.P ndio Nini kumbe kilaza hivi
USSR
Inspekta Jenerali wa Polisi ( IJP)I.J.P ndio Nini kumbe kilaza hivi
USSR
Mungu hachangamani na mzinzi, mwongo, tapeli, mzushi na mwizi wa kura.Gwajima ni mtumishi wa Mungu sio sawa kumlinganisha na walevi
Wote ni Sukuma GangGwajima na sirro wote lao moja: kumhujumu mama
Sirro ni mpinga chanjo na yuko na Gwajimausikute ni mjumbe wa Sukuma Gang
Inspekta Jenerali wa PolisiI.J.P ndio Nini kumbe kilaza hivi
USSR
Anajifanya mjuaji kumbe yeye ndio kilazaInspekta Jenerali wa Polisi, Ona Sasa wewe umeonekana ndiye Kilaza.
Huyo Ni mwana CCM mwenzake lazima apate maandishi kutoka kwa mwana CCM mwenzake. Utatu wa ccm.
huyo ni mchumia tumboImekuwa kawaida kwa viongozi wa vyama vya upinzani kukamatwa kwa maagizo ya mdomo ya 'wakubwa' chamani na Serikalini. Wakubwa wanapochafukwa, huagiza kukamatwa kwa kiongozi huyu au yule wa upinzani au hata wanachama wa kawaida. Kukamatwa LAZIMA kutanguliwe na maagizo.
Waziri wa Afya Dr. Doroth Gwajima ameagiza kukamatwa kwa Askofu Gwajima kwa kile alichodai kuwa Askofu huyo anaupotosha umma juu ya chanjo ya Corona. Ghafla, akajitokeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Siro na kutoa kauli. Kauli yake ni kuwa bado hawajapata maagizo ya maandishi ya kumkamata Askofu Gwajima.
IJP Siro amesema kuwa baada ya kupata maandishi hayo, Polisi watapembua kuona kama kuna jinai au la ili hatua stahiki zichukuliwe. Amedai kuwa maagizo ya Waziri ya kumkamata Askofu Gwajima ameyaona mtandaoni.
Mara ngapi watu wamekuwa wakikamatwa kwa kauli tu za viongozi? Mara ngapi viongozi wa upinzani na wanachama wao wamekamatwa kwa maagizo ya mdomo ya viongozi wa chama tawala na Serikali? Lini na wapi Polisi walisubiri maandishi?
Agizo la kukamatwa lingewahusu Joseph Mbilinyi wa CHADEMA au Zitto Kabwe wa ACY-Wazalendo, IJP Siro na Polisi wote wangesubiri maandishi?
Askofu Gwajima akamatwe ili saga liishe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam, Polisi ni mali yetu, wanafanya tunachoagiza wenyeImekuwa kawaida kwa viongozi wa vyama vya upinzani kukamatwa kwa maagizo ya mdomo ya 'wakubwa' chamani na Serikalini. Wakubwa wanapochafukwa, huagiza kukamatwa kwa kiongozi huyu au yule wa upinzani au hata wanachama wa kawaida. Kukamatwa LAZIMA kutanguliwe na maagizo.
Waziri wa Afya Dr. Doroth Gwajima ameagiza kukamatwa kwa Askofu Gwajima kwa kile alichodai kuwa Askofu huyo anaupotosha umma juu ya chanjo ya Corona. Ghafla, akajitokeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Siro na kutoa kauli. Kauli yake ni kuwa bado hawajapata maagizo ya maandishi ya kumkamata Askofu Gwajima.
IJP Siro amesema kuwa baada ya kupata maandishi hayo, Polisi watapembua kuona kama kuna jinai au la ili hatua stahiki zichukuliwe. Amedai kuwa maagizo ya Waziri ya kumkamata Askofu Gwajima ameyaona mtandaoni.
Mara ngapi watu wamekuwa wakikamatwa kwa kauli tu za viongozi? Mara ngapi viongozi wa upinzani na wanachama wao wamekamatwa kwa maagizo ya mdomo ya viongozi wa chama tawala na Serikali? Lini na wapi Polisi walisubiri maandishi?
Agizo la kukamatwa lingewahusu Joseph Mbilinyi wa CHADEMA au Zitto Kabwe wa ACY-Wazalendo, IJP Siro na Polisi wote wangesubiri maandishi?
Askofu Gwajima akamatwe ili saga liishe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
uwezo wa siro kukamata unaishia kwa upinzani amkamate bishop wetu kama hajipendiImekuwa kawaida kwa viongozi wa vyama vya upinzani kukamatwa kwa maagizo ya mdomo ya 'wakubwa' chamani na Serikalini. Wakubwa wanapochafukwa, huagiza kukamatwa kwa kiongozi huyu au yule wa upinzani au hata wanachama wa kawaida. Kukamatwa LAZIMA kutanguliwe na maagizo.
Waziri wa Afya Dr. Doroth Gwajima ameagiza kukamatwa kwa Askofu Gwajima kwa kile alichodai kuwa Askofu huyo anaupotosha umma juu ya chanjo ya Corona. Ghafla, akajitokeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Siro na kutoa kauli. Kauli yake ni kuwa bado hawajapata maagizo ya maandishi ya kumkamata Askofu Gwajima.
IJP Siro amesema kuwa baada ya kupata maandishi hayo, Polisi watapembua kuona kama kuna jinai au la ili hatua stahiki zichukuliwe. Amedai kuwa maagizo ya Waziri ya kumkamata Askofu Gwajima ameyaona mtandaoni.
Mara ngapi watu wamekuwa wakikamatwa kwa kauli tu za viongozi? Mara ngapi viongozi wa upinzani na wanachama wao wamekamatwa kwa maagizo ya mdomo ya viongozi wa chama tawala na Serikali? Lini na wapi Polisi walisubiri maandishi?
Agizo la kukamatwa lingewahusu Joseph Mbilinyi wa CHADEMA au Zitto Kabwe wa ACY-Wazalendo, IJP Siro na Polisi wote wangesubiri maandishi?
Askofu Gwajima akamatwe ili saga liishe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
siyo waumini wake tu, anauhadaa umma wa watanzania wasiitikie wito wa Rais wa nchi kwenda kuchanja - Siro bado haoni huu ni uhalifu? au anasubiri amri ya kumkamata Sugu na Heche hata kama ni usiku wa manane lazima awatume vijana wake.Serikali inahimiza wananchi waende kuchanja uviko-19 unaua vs Askafu anashawishi waumini wake wasichanje kujikinga na uviko-19.Mwisho wa siku ni mtu binafsi ataadhirika.Mwenyezi Mungu utuongoze tuwe na mwisho mwema.
Wakati Mbowe anakamatwa Mwanza kulikuwa na maandishi? Unajua hii nepotism ndio huwa inaleta mikanganyiko katika nchi. Angemweka selo kwanza Gwajima ndipo adai maandishi, kama wanavyofanya kwa wapinzaniJamaa Sirro mjanja sana, hataki msala kama wa sabaya wa kupokea tu maagizo ya wakubwa bila official statement kimaandishi.
hii ni nzuri kama akija kupata msala kama sabaya anaonesha evidences za maagizo hayo kimaandishi
Ndiyo maana watu wahisi ngwajima anatumwa na viongozi, Igp amejidhihirisha mwenyeweImekuwa kawaida kwa viongozi wa vyama vya upinzani kukamatwa kwa maagizo ya mdomo ya 'wakubwa' chamani na Serikalini. Wakubwa wanapochafukwa, huagiza kukamatwa kwa kiongozi huyu au yule wa upinzani au hata wanachama wa kawaida. Kukamatwa LAZIMA kutanguliwe na maagizo.