Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Huyu jamaa ni WA kuhulumia Mana anaongea ujinga tu .Hivi kweli mwaka Jana uchuguzi SI ulivulugwa na CCM kwa kushilikiana na hao polisiTip muhimu ushahidi
" walishawishi baadhi ya vijana wetu Wenye mafunzo...." kwamba wapo vijana wa Jeshi wanaandaliwa ama,wameandaliwa watumike kutoa ushahidi dhidi mashitaka ugaidi!? Hivi kweli ugaidi unatafutwa kwa tochi? Hisia?..
Vijana wa CCM sjui akili wanawekaga wapi yaani hapo uko Kama mzogaKatibu Mkuu wa chadema Mnyika anapaswa achunge sana kauli zake za kuhamasisha maandamano yenye lengo la kuvunja amani ya nchi.
Asije akalilaumu Jeshi la Polisi endapo atachukuliwa hatua za kisheria.
Huwezi kuhamasisha maandamano ya kushinikiza mahakama itoe haki!! kitendo hiki ni uvunjaji wa sheria.
Mnyika na Mrema wawe makini sana, watanzania hatuko tayari kuona watu.wachache wanajaribu kuchokonoa amani ya nchi yetu, na tunaliomba Jeshi letu kamwe lisivumilie wala kuwachekea.
[emoji817][emoji3581]IGP Sirro anadhani Watanzania wamesahau kutekwa kwa MO? Kwa makusudi mjadala wa nani alimteka MO na kukaa naye ndani ya siku 9 umeamka tena baada ya IGP Sirro kujigeuza mahakama na kumhukumu Mbowe kuwa anao ushahidi kuwa Mbowe ni gaidi.
IGP Sirro nataka ujue kuwa, jinai huwa haizeeki, unachokifanya kuna siku utasimama mbele ya Mahakama. Usidhani ilivyo leo ndivyo na kesho itakuwa hivyo.
Kwa sababu ugaidi wa Mbowe unaujua, tunataka kujua ni nani alimteka MO? Na ile picha ya gari la watekaji wa MO uliitoa wapi?
Na ulijuaje kama walikuwa ni wazungu,na waliwezaje kutoroka mipaka ya Tanzania?
Siyo hivyo tu, tunataka utuambie Ben Saanane yuko wapi?
Na Tuambie pia Azory Gwanda yuko wapi?
Na ni kina nani walimpiga risasi Tundu Lissu?
Na tuambie pia yuko wapi Police aliyefyatua risasi iliyomuua Aquilina? Kwa sababu risasi ya kutuliza ghasia hufyatuliwa juu,sasa ilikuwaje Police kufyatua risasi kuelekea kwenye Daladala?
IGP Sirro, hujui gharama ya kukabiliana na Dhambi,siku ukianza kulipa maovu yako na wenzako, usije sema umeonewa.
MUNGU si wa mchezo,walikuwepo kina Samuel Doe,yaliyowakuta ni majonzi na vilio siku walipolipa matendo yao.
MUNGU hawahi wala hachelewi.
Siku inakuja mtalipa tu sawa sawa na matendo yenu.
Amina...!
Alafu usikute kanisani unaenda kuna mijitu mnanuka damuIGP Simon Nyankoro Sirro yupo right 100% Mbowe ana koneksheni na bokoharam na alqaeda na wamminye mpaka ataje aliyemshambulia Kamanda Lissu.
Huyu nae ni kichaa tu .na ajabu Mbowe atashinda kesi sijui siku hyo ataweka wapi sula yake.kuna siku ataaibikaMitandao ya kijamii imefurika matusi na kejeli baada ya IGP kutoa press akidai asiyeamini kwamba Mbowe ni Gaidi aende akamuulize. Amekwenda mbali zaid na kudai atakayethubutu kuandamana atapigwa tu.
Hi si ishara nzuri kwa mlinzi wa amani kugeukwa na anaowalinda, naamini Jeshi la Polisi linakila sababu yakujitafakari kuelekea kustaafu kwa huyu Mzee siro ambaye kwa namna yoyote ile awezi Tena kujisafisha.
Ikumbukwe aliyeeleza kwamba Mbowe amekamatwa kwa maelekezo ya Rais alikuwa ni RPC Mwanza na hakuna hatua zilizochukuliwa kupinga kauli hiyo si serikali Wala jeshi lenyewe.
Lakini baadaye tuliambiwa anatuhumiwa kutaka kuua viongozi ila hati ya mashtaka haisemi hivyo na hakuna kiongozi aliyetajwa alitaka kuuwawa.
Puzzle tata.Bado nawaza niunge vipi Dots,
Lakini RPC wake alisema Rais kaagiza Mbowe akamatwe, ilikaaje hapo au Sirro hajalifafanua why?
acha mbwembwe keyboard warriorKuwavunja miguu? Kwa kosa gani sasa? Wewe kwa hakika ni boya kweli kweli!
Au kwa kosa litakuwa lile lile lisilokuwapo kama alilobambikiziwa Mbowe? Nani asiyejua polisi Tanzania kubambikiza kesi ni moja ya majukumu yao halali yaliyoshamirishwa vilivyo katika awamu ile?
Kudai haki hakuwezi kuwa bila gharama
Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita. Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu walio na wito kamili. Kama ile iendayo uzimani, ina vikwazo vingi. Kipi ambacho kamanda Mbowe...www.jamiiforums.com
Ieleweke kuwa tunajua haki hatutaipata kwa kuomba au kupewa. Tuko tayari kuilipa gharama hiyo ambapo kwa kuvunjwa mguu tu, gharama hiyo ni sawa na bure.
Habari ndiyo hiyo.
Kapigwa pini kali ya vitisho kwake na ukoo wake wote, lazima aufyate.MO mwenyewe anajuwa aliyemteka. Kwa nini asiseme?
Kuna hoja ya msingi hapaUongozi ni ngumu sana ndugu zangu sio kwa upande wa kamanda sirro au kwa upande wa mbowe yaani kila mmoja anagombania upande wake sasa sijui mulitaka kamanda sirro afanyeje au amchekee tu mbowe pia mulitaka mbowe afanyeje eeh yaani asiipiganie katiba
Wewe ulifukuzwa CHADEMA ukajidai umetekwa na CHADEMA Temeke, tunakuja kwa unafki wako endelea. Unahangaika na Mbowe sana lakini wewe ni mdogo sana huwezi kujifananisha nayeGaidi hana rafiki waulize chacha wangwe, slaa, Zito, Sumaye
Hatari sanaKatika kitu cha ajabu kutokea Tanzania ni kuona mtu ambayo yupo kwenye level ya juu kabisa ya walinzi wa amani na usalama wa raia akionesha chuki binafsi kwa mtanzania mwenzake. Huwezi kutoa hukumu ñzito kiasi hicho wakati unajua ni tuhuma na ziko mahakamani. Huu siyo uungwana na si ubinadamu, Mbowe ana watoto na familia inayotegemea kama wewe, acha kutenda dhambi kwa umri ulionao unapaswa kumuogopa Mungu.
Kuonesha kua una chuki kubwa na Mbowe ni kumshambulia yeye binafsi bila hata ya kufikiri kua hata wewe ni binadamu unaweza kupewa taarifa za uongo na uliowatuma wafanye upelelezi. Kama tu walinzi wake waliokuwa wakiteswa waseme kua Mbowe ni Gaid na wewe unasema Mbowe si malaika, siyo wewe umeagiza walinzi waseme Mbowe gaidi?
MBONA MASHTAKA YA KUUA VIONGOZI WA JUU SERIKALINI HAYAPO KAMA WALIVYORIPOTI POLISI?
Kudhihirisha wazi kua una chuki binafsi na uonevu kwa Mbowe, mwanzo kwenye taarifa iliyosomwa kwa uma na msemaji wa polisi David Misime iliripotiwa kua Mbowe alikua na tuhuma za kutaka kuua viongozi wa juu wa serikali, hilo Shtaka mbona halipo na badala yake ni kulipua vituo vya mafuta, kwanini polisi mlimtungia Mbowe taarifa za uongo? Hii siyo chuki binafsi?
Mzee wangu IGP kumbuka kwamba unastaafu kwenda mtaani na unahitaji kwenda kushirikiana na jamii, usiharibu mahusiano yako na jamii kwa kinywa chako. Kumbuka kua Mungu yupo na hapendezwi na haya na chozi la Mbowe asiye na hatia litakutia katika adhabu ya mwenyezi Mungu.
Hata wale mashee wa uhamsho police walijinasibu kuwa ni magaid lakin Leo wako huru, kwenye maisha huwezi shindana na ukweli mbowe sio gaid na Tanzania hatuna magaidi sababu hatujawahi kuwa na shambulio la kigaidi tokea jengo la marekan kulipuliwaMsihangaike kumchambua Sirro.
Amesema Kuna mtego ulitegwa kwa mbowe akanasa.
Swali mtego huohuo ulitegwa kwa Lissu auawe na hakufa.
Sirro hakupenda kutega mtego wakuwanasa waliopiga risasi Lissu.
Mimi nawewe tupo mtegoni,
Mungu atategua tu
Ukiwa kwenye madaraka haya unakuwa kipofu . Ukitoka akili zinarudi. Sirro haioni Cdm kama chama cha kisiasa ' bali aniona kama kikundi cha ugaidi. Katiba yetu ni mbaya sana. Inawafanya maaskari kuwa kitengo cha kuwanyanyasa wapinzani.Katika kitu cha ajabu kutokea Tanzania ni kuona mtu ambayo yupo kwenye level ya juu kabisa ya walinzi wa amani na usalama wa raia akionesha chuki binafsi kwa mtanzania mwenzake. Huwezi kutoa hukumu ñzito kiasi hicho wakati unajua ni tuhuma na ziko mahakamani. Huu siyo uungwana na si ubinadamu, Mbowe ana watoto na familia inayotegemea kama wewe, acha kutenda dhambi kwa umri ulionao unapaswa kumuogopa Mungu.
Kuonesha kua una chuki kubwa na Mbowe ni kumshambulia yeye binafsi bila hata ya kufikiri kua hata wewe ni binadamu unaweza kupewa taarifa za uongo na uliowatuma wafanye upelelezi. Kama tu walinzi wake waliokuwa wakiteswa waseme kua Mbowe ni Gaid na wewe unasema Mbowe si malaika, siyo wewe umeagiza walinzi waseme Mbowe gaidi?
MBONA MASHTAKA YA KUUA VIONGOZI WA JUU SERIKALINI HAYAPO KAMA WALIVYORIPOTI POLISI?
Kudhihirisha wazi kua una chuki binafsi na uonevu kwa Mbowe, mwanzo kwenye taarifa iliyosomwa kwa uma na msemaji wa polisi David Misime iliripotiwa kua Mbowe alikua na tuhuma za kutaka kuua viongozi wa juu wa serikali, hilo Shtaka mbona halipo na badala yake ni kulipua vituo vya mafuta, kwanini polisi mlimtungia Mbowe taarifa za uongo? Hii siyo chuki binafsi?
Mzee wangu IGP kumbuka kwamba unastaafu kwenda mtaani na unahitaji kwenda kushirikiana na jamii, usiharibu mahusiano yako na jamii kwa kinywa chako. Kumbuka kua Mungu yupo na hapendezwi na haya na chozi la Mbowe asiye na hatia litakutia katika adhabu ya mwenyezi Mungu.
ujinga wa waarabu tu huo, hakuna lolote[emoji706]Press conference yote ya Siro imejaa NIA ya mateso kwa watanzania wenzetu wapinzani bila sababu.
Kwa muktadha huo, naomba awekewe FATWA.
FATWA NAAMA YAKE INAJULIKANA, KAMA HUJUI GOOGLE