Genius Mzee
Member
- Jul 29, 2021
- 50
- 222
Eti Broo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we wachuuze tu wenzio wakati wewe utakuwepo mahakamani kwa kutmia mitandao wenzio wakapondwe pondwe wavunjwe miguu keshoyake uje tena kuwapa pole na kulaumu polisi sana
Mkuu njoo tulime maharage na njegere huku ipalamwa usije ukapelekewa moto bure tukakusahau.Jamaa kasema sahiv kama amani imekushinda na unataka uandamane wao wako tayar wamejipanga watakupelekea Moto
Kauli ya kupelekewa Moto imejirudiarudia kama tuko Afghanistan
Sirro afahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:
1. tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi.
2. tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi.
3. tunajua ni haki yetu kuja mahakamani.
4. tunakutaka ujue tutakuwapo mahakamani wala usitutishe
5. tunakutaka inogile Mungu wako kwani kushuhudia uongo huku ukilitaja jina lake, Mola anakataza.
6. tunakutaka awashauri wenzio mtafute magereza zaidi ya kutuweka katika mamilioni yetu.
7. tunakutaka uziheshimu haki zetu.
Ni hayo kwako kamanda.
Unamtaka na nani?Sirro afahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:
1. tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi.
2. tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi.
3. tunajua ni haki yetu kuja mahakamani.
4. tunakutaka ujue tutakuwapo mahakamani wala usitutishe
5. tunakutaka inogile Mungu wako kwani kushuhudia uongo huku ukilitaja jina lake, Mola anakataza.
6. tunakutaka awashauri wenzio mtafute magereza zaidi ya kutuweka katika mamilioni yetu.
7. tunakutaka uziheshimu haki zetu.
Ni hayo kwako kamanda.
Wanaandamana kwenda kufanya nini?Katibu Mkuu wa chadema Mnyika anapaswa achunge sana kauli zake za kuhamasisha maandamano yenye lengo la kuvunja amani ya nchi.
asije akalilaumu Jeshi la Polisi endapo atachukuliwa hatua za kisheria.
huwezi kuhamasisha maandamano ya kushinikiza mahakama itoe haki!! kitendo hiki ni uvunjaji wa sheria.
Nyika na Mrema wawe makini sana, watanzania hatuko tayari kuona watu.wachache wanajaribu kuchokonoa amani ya nchi yetu, na tunaliomba Jeshi letu kamwe lisivumilie wala kuwachekea.
TulishawaonyahttpsAhsante sana IGP kwa maelezo na makatazo, wenye akili tumekuelewa vizuri sana.
tuache kufuata upepo kamwe tusiburuzwe, tuheshimu sheria pamoja na vyombo vinavyo simamia sheria.
Katibu Mkuu wa Chadema Mnyika na Mrema naamini wamepata ujumbe na watautekeleza.
Unaongea utafikiri kweli unaweza kuingia hata huko barabarani hakuna mjinga wa kiwango cha mawazoyako atakaye enda kuandamana kwa taarifa yako mifano iko mingi lissu aliwaambia watu waingie barabarani yeye akaondoka na hakuingia mtu sasa kila mtuyko na shughurizake hakuna mwenye muda mchafu na mboweKumvunjia miguu? Kwa kosa gani sasa? Wewe kwa hakika ni boya kweli kweli.
Au kwa kosa litakuwa lile lisilokuwapo kama alilobambikiziwa Mbowe? Nani asiyejua polisi Tanzania kubambikiza kesi ni moja ya majukumu yao halali
Naona umeamua kujifariji.Acha wafu wazikane…
Mama anaendelea kuupiga mwingi sana huku “Sukuma gang “ wakiangalia pambana na kushushia na beer baridi kabisaaaa.
Kumvunjia miguu? Kwa kosa gani sasa? Wewe kwa hakika ni boya kweli kweli.
Au kwa kosa litakuwa lile lisilokuwapo kama alilobambikiziwa Mbowe? Nani asiyejua polisi Tanzania kubambikiza kesi ni moja ya majukumu yao halali yaliyoshamirishwa vilivyokatika awamu ile?.....
Alisikika raia mmoja wa online republic akitutusa vidole kutokea ughaibuniSirro ufahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:
1. Tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi
2. Tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi
3. Tunajua ni haki yetu kuja mahakamani
4. Tunakutaka ujue tutakuwapo mahakamani wala usitutishe
5. Tunakutaka umwogope Mungu wako kwani kushuhudia uongo huku ukilitaja jina lake bure, Mola anakataza
6. Tunakutaka uwashauri wenzio mtafute magereza zaidi ya kutuweka katika mamilioni yetu
7. Tunakutaka uziheshimu haki zetu
8. Tunakutaka uheshimu katiba
Ni hayo tu. Kwako kamanda.