BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Tumeamua kupambana na Serikali haramu (ndiyo ni haramu hawakushinda uchaguzi) basi tutumie hata njia ambazo hazitasababisha umwagaji damu lakini zitakuwa na negative impact kwenye hii Serikali ya kidhalimu.
La kwanza la msingi binafsi niko tayari kupata hasara. Ila:
"Hakuna muamala hapa!"
...Katiba Mpya: Heri Rais Samia akaruhusu mchakato, asisubiri mashinikizo
Suala la kuwapo au kutokuwapo kwa katiba mpya kwa sasa halina mbadala tena. Ni wazi kuwa watanzania walio wengi tunahitaji katiba mpya na iliyopo haitufai tena. Tofauti iliyopo ni kwenye viwango (extent) tu. Ni dhahiri kuwa mchakato huu usiporuhusiwa kwa hiari, mashinikizo yatafuata. Huu ndiyo...www.jamiiforums.com