IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

we wachuuze tu wenzio wakati wewe utakuwepo mahakamani kwa kutmia mitandao wenzio wakapondwe pondwe wavunjwe miguu keshoyake uje tena kuwapa pole na kulaumu polisi sana

Kuwavunja miguu? Kwa kosa gani sasa? Wewe kwa hakika ni boya kweli kweli!

Au kwa kosa litakuwa lile lile lisilokuwapo kama alilobambikiziwa Mbowe? Nani asiyejua polisi Tanzania kubambikiza kesi ni moja ya majukumu yao halali yaliyoshamirishwa vilivyo katika awamu ile?


Ieleweke kuwa tunajua haki hatutaipata kwa kuomba au kupewa. Tuko tayari kuilipa gharama hiyo ambapo kwa kuvunjwa mguu tu, gharama hiyo ni sawa na bure.

Habari ndiyo hiyo.
 
Jamaa kasema sahiv kama amani imekushinda na unataka uandamane wao wako tayar wamejipanga watakupelekea Moto
Kauli ya kupelekewa Moto imejirudiarudia kama tuko Afghanistan
Mkuu njoo tulime maharage na njegere huku ipalamwa usije ukapelekewa moto bure tukakusahau.
 
Jeshi la polisiccm haliaminiki tena kwani linatumika kisiasa pamoja na mahakama kubambikia Watanzania kesi FEKI. Gaidi KAMWE hatoi kauli kama hizi.

 
Unamtaka na nani?
 
Uongozi ni ngumu sana ndugu zangu sio kwa upande wa kamanda sirro au kwa upande wa mbowe yaani kila mmoja anagombania upande wake sasa sijui mulitaka kamanda sirro afanyeje au amchekee tu mbowe pia mulitaka mbowe afanyeje eeh yaani asiipiganie katiba
 
Sirro unakumbuka ile clip yako uliyokuwa unawaasa makamanda wa Polisio wasijisahau wakiwa kazini maana kuna kustaafu na wale wale watu waliowatendea ubaya ndio watakuja kuishi nao?

Au kuna baadhi ya vyeo mtu ukifika hii inakuwa hai-apply?
 
Wanaandamana kwenda kufanya nini?

Hata hivyo, ndugu jamaa na marafiki huweza kwenda mahakamani kusikiliza kesi au kuonesha mshikamano kwa mshitakiwa.

Kama watafanya fujo, watapambana na jeshi la polisi, ila kama wanafuata maelekezo pale mahakamani hakuna shida.

Wakati mwingine siyo lazima kupambana kwa maneno, yanaongeza mivutano bure
 
Tulishawaonyahttps
//www.jamiiforums.com/threads/chadema-wanataka-kuvuruga-amani-ya-nchi-tuwe-nao-makini-kama-taifa.1892179/
 
Kumvunjia miguu? Kwa kosa gani sasa? Wewe kwa hakika ni boya kweli kweli.

Au kwa kosa litakuwa lile lisilokuwapo kama alilobambikiziwa Mbowe? Nani asiyejua polisi Tanzania kubambikiza kesi ni moja ya majukumu yao halali
Unaongea utafikiri kweli unaweza kuingia hata huko barabarani hakuna mjinga wa kiwango cha mawazoyako atakaye enda kuandamana kwa taarifa yako mifano iko mingi lissu aliwaambia watu waingie barabarani yeye akaondoka na hakuingia mtu sasa kila mtuyko na shughurizake hakuna mwenye muda mchafu na mbowe
 
Acha wafu wazikane…
Mama anaendelea kuupiga mwingi sana huku “Sukuma gang “ wakiangalia pambana na kushushia na beer baridi kabisaaaa.
Naona umeamua kujifariji.

Teh teh teh
 
 

Kumbukumbu la Torati/Sheria 7:15​

Mwenyezi-Mungu atawaondoleeni magonjwa yote na hamtapatwa na magonjwa yoyote ya kutisha kama yaliyowapata huko Misri, lakini atawapa maadui zenu magonjwa hayo.


Asante Mtumishi wa Mungu Gwajima

 
Alisikika raia mmoja wa online republic akitutusa vidole kutokea ughaibuni

nendeni barabarani …. Mkaonje virungu vipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…