IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Sidhani kama unajua au una taaluma yoyote ya sheria
 
Kama huna cha kuandika JM si utulie au usome thread tu za watu maaana ulichokiandika hata hujui umeandika niniiiiiii
 
Kama ushahidi wa tigo na aitel ndo ule hakuna kesi pale, huu ushahidi wa hisia judge gani atauchukua
 
Huyu IGP yupo yupo tu. askari wake wanapora wananchi alafu wanawaua
 
Hizi nyuz za hivi siona mtu alieanzisha akijibu. Huwa wanaanzisha halafu wanaishia mitini. Hawa wanatumwa maalum kwa ajili ya kupima upepo. Hii I'd ilifunguliwa maalum mwaka jana kwa ajili ya hii kesi.
 
Kuna siku tutagundua nyuma ya jaribio lililoshindw la kumuua Lissu upo mkono wa Kamanda Mbowe na makamanda wengine... Yetu macho na masikio
Nani alikuwa anakamata wanaofanya maombi Lissu apone?
Nani alizuia Lissu kulipiwa na serikali gharama za tiba?
Nani alizuia malipo na mafao ya Lissu bungeni?
Nani alimfuta ubunge?
Nani alizuia upelelezi wa jaribio lile la mauaji ?
 
Kuna siku tutagundua nyuma ya jaribio lililoshindw la kumuua Lissu upo mkono wa Kamanda Mbowe na makamanda wengine... Yetu macho na masikio
Unaisubiria hiyo siku bado? Jinga hii. Mbowe atakuwa yuko juu ya sheria zote duniani basi kama tukiamua kuitumia akili yako.
 
Kuna siku tutagundua nyuma ya jaribio lililoshindw la kumuua Lissu upo mkono wa Kamanda Mbowe na makamanda wengine... Yetu macho na masikio
Na serikali mpaka leo imeshindwa kulijua hilo na kulithibitisha!!!???
Basi narudia kuandika tena, Mh. Mbowe atakuwa ni bonge la jiniasi kuliko jiniasi tuwajuao duniani.
 
shida ni kwamba, alikuwa anafikiri anaweza kuspy jeshi na serikali kwa kutumia watumishi wa serikali tena kutoka maeneo hayo nyeti, bila kujua kuwa wenzake hao walishakula kiapo. hata wale bodyguards anaoshitakiwa nao walishakula kiapo cha kufa na kupona, asiwaamini sana. kweli unamchukua mtu alikuwa comandoo wa jeshi awe mlinzi wako na bado unaamini atakuwa mwaminifu kwako kuliko kuwa mwaminifu kwenye kiapo chake? akili zenu mmepeleka wapi?
 
Nanukuu;

Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake.

Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI?

Ni kwanini mwanajeshi alifanya kazi ya upolisi wakati polisi wapo? Je, Command yake ilijua haya aliyokuwa akiyafanya?

Kwenye level ya DCI, Urio hawezi kufanya kazi na Boaz bila Gen. Mabeyo kujua

Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza.
 
nacho anza kuona apo ni visasi tuu kati ya ma -uncle wawili mbowe na Urio...………….
 
Kama wanao ushahidi kwann wanatumia mda mrefu kutafuna kodi zetu si wamfunge tu
 
Ukiona kesi inachukua mda mrefu kuisha jua hamna kesi hapo
 
Elimu Elimu Elimu Elimu.Siwezi kukulaumu kwakuwa Elimu yako mpaka leo imeshindwa kukukomboa.

Luteni Urio kathibitisha mwenyewe tena pasipo shaka kwamba hakuna ugaidi na kesi yenyewe imejengwa katika misingi ya kisiasa.
Yaani mpaka sasa sioni kwa nini akina Adamoo wasilipwe fidia na serikali kwa kuwatumia kumchomekea FM case bila wao kujua halafu wakawatesa na kuwabambikia kesi .... Binafsi naona DCI anatakiwa awajibishwe kwa hili.
 
Mhalifu ni muhalifu tu.
Mbowe na wenzake ni wahalifu/watuhumiwa kama walivyo wahalifu wengine.
Mbowe sio mtakatifu ni binaadamu kama wengine.
Dhalimu ni dhalimu.

Atatumia kila resources aliyonayo kukukandamiza tu
 
Abracadabra za kingai ndio ushahidi
 
Mbona Luteni Urio kasema hakunq ushahidi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…