Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
Bila la shaka ni ndugu ze jambazi,(ze bambikiaji kama sii timu badluck&co. Kolabo ya akina king'aa, urio etc.Kwa sakata hili la Mbowe, kweli mungu fundi, yaani bila kutumia nguvu ametupigania wana kaskazini kwa kuliweka gaidi mbowe ndani, na lisitoke kamwe.
Hongera kwa jeshi la polisi, na wakuu wote wa vyombo vya usalama kwa kuukomesha mpango wa ugaidi wa Mbowe.
Heko pia kwa mama yetu SSH kwa kulijua hilo, ikiwezekana asitoke huko.! Wananchi tupo upande wa serikali na tunafuatilia kwa karibu suala hili ili kuhakikisha gaidi anapatiwa haki yake kisawa sawa.
Na, liwe fundisho.!
Mbo we liozee jela kwa uweza wake mungu.Ufundi mkubwa na usiomithilika ambao Mungu alilitendea taifa letu ni ule wa tarehe 17 Machi, 2021.
Hakuna unaozidi huo.
Sifa na Utukufu ni kwako Mwenyezi Mungu, milele na milele.
Nimesahau kidogo:BWANA,nakuomba lile dubwasha ulilaze hata chooni kama utakuwa umelionea huruma.Na lilale humo milele!
Labda wananchi yangaWewe ndio msemaji wa wananchi?
Labda wananchi yangaWewe ndio msemaji wa wananchi?
Kwa sakata hili la Mbowe, kweli mungu fundi, yaani bila kutumia nguvu ametupigania wana kaskazini kwa kuliweka gaidi mbowe ndani, na lisitoke kamwe.
Hongera kwa jeshi la polisi, na wakuu wote wa vyombo vya usalama kwa kuukomesha mpango wa ugaidi wa Mbowe.
Heko pia kwa mama yetu SSH kwa kulijua hilo, ikiwezekana asitoke huko.! Wananchi tupo upande wa serikali na tunafuatilia kwa karibu suala hili ili kuhakikisha gaidi anapatiwa haki yake kisawa sawa.
Na, liwe fundisho.!
Anaweza kuwa godlaki/badluck huyo, laana ya kumbambikia imemvuruga kichwa🤔.Kumbe we unahurumia mbwa tu sio binadamu! Nimetoka kusoma uzi wako wa kijinga na hapa umethibitisha kuwa umgonjwa wa akili nenda hospitali haraka maana unathibitisha vitu ambavyo huna hata chembe ya data.
Nikusaidie. Hayo uliyoyaandika hapa hayatawezekana na kama umejiaminisha kuwa yatawezekana unajidanganya!Kwa sakata hili la Mbowe, kweli mungu fundi, yaani bila kutumia nguvu ametupigania wana kaskazini kwa kuliweka gaidi mbowe ndani, na lisitoke kamwe.