IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

na wewe unae hoji ni mahakama!? mama unaucheza mwingi mno,huenda tuliyokuwa tunayaskia huko mijini na maeneo mengine yalihusiana na hii tuhuma,tuiache mahakama iendelee na kuamua ikiwa ni jamaa ni gaidi au laa,mm na ww ,huenda tunaskia skia ,au tunashaka na mbowe ,au hatuna mashaka nae,wanao ujua ukweli wa ugaidi wa mbowe ni mbowe mwenyewe na jamhuri. Ikiwa ni gaidi Basi atapata hatima ya kazi hiyo ya ugaidi,ikiwa ni msafi pia vivyo hivyo.
 
Katika kitu cha ajabu kutokea Tanzania ni kuona mtu ambayo yupo kwenye level ya juu kabisa ya walinzi wa amani na usalama wa raia akionesha chuki binafsi kwa mtanzania mwenzake. Huwezi kutoa hukumu ñzito kiasi hicho wakati unajua ni tuhuma na ziko mahakamani. Huu siyo uungwana na si ubinadamu, Mbowe ana watoto na familia inayotegemea kama wewe, acha kutenda dhambi kwa umri ulionao unapaswa kumuogopa Mungu...
Awaulize Gewe, yule mhaya nimesahau jina, na wengineo.. Yaani tumeshawasahau. na yeye tutamsahau tu.
 
Akili zenyewe huna unawezaje kujua ujinga? Kwa upumbavu wako unadhani kuandika kakingereza ka ngama ka dictionary unajiona eti una Akili? CCM acheni kuwatumia wajinga wajinga kama hawa kuwatetea mitandaoni kwani badala ya kuisaidia CCM huwa wanawadhalilisha zaidi
Ooh well

imbecile trolling
 
Mikwara Mbuzi hiyo,Kama kweli mnaweza ingieni road tuwaone,nyuma ya keyboard mnakuwa wababe sana!!

Kwani hata kuna haja ya kubishania aina mikwara? Kwamba ni mikwara mbuzi, kondoo, ng'ombe, mbuzi, punda, panya nk?

Tufanye ni mikwara mbuzi. Umefurahi eeh?

Ila usikonde. Karibu Mahakamani Kisutu wewe na yule na Sirro pia.
 
Kwani hata kuna haja ya kubishania aina mikwara? Kwamba ni mikwara mbuzi, kondoo, ng'ombe, mbuzi, punda, panya nk?

Tufanye ni mikwara mbuzi. Umefurahi eeh?

Ila usikonde. Karibu Mahakamani Kisutu wewe na yule na Sirro pia.
Kwa ushaidi huu Mbowe hatoboi, mkiaambiwa Tanzania kuna Wapelelezi wazalendo mnaleta dharau, Sasa utakayokuta Mahakamani utamuogopa hadi Mbowe mwenyewe!!
 
Kwani wewe upo mbele ya keyboard ukitukuza ushetani wenu? hata wewe upo nyuma ya keyboard ukichochea uonevu unyanyasaji kwa watu ambao hawana siraha Bunduki wateswe kwa kubambikiwa kesi na Polisiccm
Tukutane Mahakamani!!
 
IGP amesema kama unaona Mbowe kaonewa nenda kamuulize kama kweli yeye ni mkristu safi atakwambia.

Nimeona IGP kaongea kwa kujiamini sana kuwa wanao ushahidi hivyo tusubiri mahakama. huna haja ya kutoka mishipa kwa sasa, Jambo usilo lijua nisawa na usiku wa giza. Tusijiingize kwenye mitego ukaja kunasa halafu huna wa kumlaumu.

Kwa sasa wacha Mbowe apambane na hali yake
Kuna nchi ukitaja gaidi na kuwakabidhi watakushangiliaa sana maana wanajua gaidi ni mtu wa aina gani. Alafu ugaidi Ni kitu cha wazi duniani Kama mpira wa miguu unavyochezwa sihitaji Sirro aniambie fulani Ni gaidi. Aende Somalia akajifunze maana ya ugaidi akirudi hatowaambia wasio magaidi kuwa Ni magaidi
 
View attachment 1877322
IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe


IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano. Akiwa katika mkutano huo SIrro alisema yafuatayo:

“CHADEMA wanaona Mwenyekiti wao (Mbowe) ameonewa na wanasema hawezi kuwa hivyo wanamuona ni Malaika hawezi kufanya kosa”

“Kabla ya Uchaguzi nilisema kuna Watu wamepanga kuhakikisha Uchaguzi haufanyiki, nilisema kuna baadhi ya Watu wamepanga kulipua visima vya mafuta na kufanya mauaji ya Viongozi na nilisema tutawakamata kabla hawajafanya hivyo”

“Tuliwakamata kabla, hayo ya Mwenyekiti wao (Mbowe) sitaki kuzungumzia sana lipo Mahakama ila wajue yeye ni Binadamu kama Binadamu wengine na anaweza kufanya kosa tumempeleka Mahakamani tuache Mahakama itimize wajibu wake”

“Kama kweli ni mkweli Mwenyekiti wao (Mbowe) na anamuamini Mungu waende wamuulize habari hiyo, kuna mambo unaweza kuyafanya kwamba ni siri lakini ndio mana Vyombo vya Habari vipo, niwaombe Watanzania wenzangu usilolijua ni kama usiku wa giza usiingie kwenye mtego ambao hujui aliyeutega ana jambo gani”

“Waende wamuulize huyo Mtu tuliyempeleka Mahakamani (Mbowe) kwamba hili jambo unalijua na kama ni ukweli ana Dini yake na anamjua Yesu Kristo aende aaambiwe, tunamuonea kwa lipi ?, tupate nini?, tuna ushahidi wa kutosha tuache Mahakama iamue, kafanya Yes hakufanya Yes lakini habari ya kikundi cha Watu kusema tunataka kuandamana wewe ni nani Bro!? hiyo nafasi hauna”

Awaonya Wanaotaka kuandamana
“Niwaombe Watanzania tuache wale Watu wachache ambao wanataka kupambana na Serikali wapambane nayo labda wana sababu zake lakini Mtu wenye hekima na busara anielewe, lakini kikubwa kama wameandaa kwenda Canada au Marekani wajiandae ila hatuwezi kuruhusu Watu wachache wavuruge Nchi kwasababu wamekosa madaraka”

“Habari ya kusema mnataka kuandamana mnavunja sheria na ukivunja sheria usilaumu Jeshi, ukivunja sheria umeingia kwenye uhalifu, Sirro hatokuacha na Polisi hawatokuacha na ndio maana wanafanya siasa kwa sababu amani na utulivu upo, Sisi hatufanyi Siasa”

“Niwaombe Watanzania ambao wameambiwa mkusanyike kutoka Mara kutoka wapi sijui na muelewe Mahakamana ni kituo nyeti ni kama Kituo cha Polisi ukitaka kuvamia utakung’utwa kwa mujibu wa sheria sababu umetaka sasa kama kuna Mtu maisha yamemshinda aje ila asije kulalamika, hii kesi iko Mahakamani tuiachie Mahakama iamue”

If you think education is expensive, try ignorance!

Yaani BAVICHA badala ya kuhamasishana kutunisha mfuko wa legal defense wao wanahamasishana kutumia mabavu kuilazimisha Serikali kumuachia mtuhumiwa wa uhalifu! This is lawlessness that shouldn’t be entertained by anyone.
 
Huwa sioni mantiki ya kuogopa maandamano.
Chukua mfano wale walioandamana kumpokea Lissu, wakaachwa. Nini kilitokea? Waafrika vituko vituko hapa duniani.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sirro ufahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:

1. Tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi
2. Tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi
3. Tunajua ni haki yetu kuja mahakamani
4. Tunakutaka ujue tutakuwapo mahakamani wala usitutishe
5. Tunakutaka umwogope Mungu wako kwani kushuhudia uongo huku ukilitaja jina lake bure, Mola anakataza
6. Tunakutaka uwashauri wenzio mtafute magereza zaidi ya kutuweka katika mamilioni yetu
7. Tunakutaka uziheshimu haki zetu
8. Tunakutaka uheshimu katiba

Ni hayo tu. Kwako kamanda.
Namba 5 umepoteza muda kumshauri jambo kama hilo. Huyo alishachagua upande wa shetani.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
If you think education is expensive, try ignorance!

Yaani BAVICHA badala ya kuhamasishana kutunisha mfuko wa legal defense wao wanahamasishana kutumia mabavu kuilazimisha Serikali kumuachia mtuhumiwa wa uhalifu! This is lawlessness that shouldn’t be entertained by anyone.
Chadema hawa Bunduki hawana majeshi hawana dola wanatumia mabavu yapi kuwalazimisha nyinyi Polisi na CCM mnaomiliki silaha zote? Acheni uonevu unyanyasaji kuwabambikia kesi wapinzani, utambue kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho Duniani, walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha, Alibashiri, Gadafi, Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada, mabutu leo hii wapo wapi?
 
Vijana wa CCM sjui akili wanawekaga wapi yaani hapo uko Kama mzoga
99% ya vijana watetezi wa CCM wanatokea gheto kwa Le mutuz ndiyo mwenye tenda ya kuitetea CCM mitandaoni, sasa ipime ile Akili ndogo ya Le mutuz plus Akili ndogo ya vijana wake unapata jawabu vizuri
 
Upinzani wote lazima tuwastukie.Yapo mapandikizi mengi sana Tanzania.Soma taarifa hii.👇


Hizo propaganda za kishamba shamba watengenezeeni mazezeta huko gheto unaposhinda ukivuta Bangi,lakini Tambua watanzania wenye Akili timamu wanajua ukweli kuwa chadema hakuna Gaidi bali sasa ukidai katiba mpya ni ugaidi
 
MBOWE ni Gaidi na mhujumu uchumi ndiye aliyetoboa bomba la mafuta Kigamboni
Ndiyo alimuua sokoine, nyerere, karume , kawawa, mkapa, omary Juma, kijazi, magufuli, kombe, na viongozi wote wakubwa waliofariki
 
Chadema hawa Bunduki hawana majeshi hawana dola wanatumia mabavu yapi kuwalazimisha nyinyi Polisiccm na CCM mnaomiliki siraha zote? Acheni uonevu unyanyasaji kuwabambikia kesi wapinzani, utambue kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho Duniani, walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha, Alibashiri, Gadafi, Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada, mabutu leo hii wapo wapi?

Tumieni akili. Issue ya Mbowe iko mahakamani. Pelekeni legal defense team mahakamani ikaiangamize prosecution team kwa hoja! Hivyo ndivyo wenye akili wanavyoipiga Serikali.
 
Tumieni akili. Issue ya Mbowe iko mahakamani. Pelekeni legal defense team mahakamani ikaiangamize prosecution team kwa hoja! Hivyo ndivyo wenye akili wanavyoipiga Serikali.
Wewe tumia Akili pia IGP kasema chadema wasiende mahakamaccm wanaonekana ni maandamano, sasa chadema wakusikilize wewe uliyejifanya una Akili za kupingana na IGP au waende mahakamaccm mkawakamate wabambikiwe kesi zingine za kuonekana wamefanya fujo mahakamaccm wakati hakuna fujo yeyote.
 
Back
Top Bottom