Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kamjadili meco kwa pilatoMbowe ni pebari amabaye yeye anajali tumbo lake na biashara zake.
Kwamba ametiwa mikononi mwa wazee hilo tuliachie polisi na mahakama.
Sisi tufikirie namna ya kuhakikisha taifa letu linapambana na uharifu, kujenga shule hospital na ajira za jeshi la polisi.
Nawakilisha kuwa Mbowe sio kama hayati Mtikila.