IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Mbowe ni pebari amabaye yeye anajali tumbo lake na biashara zake.

Kwamba ametiwa mikononi mwa wazee hilo tuliachie polisi na mahakama.

Sisi tufikirie namna ya kuhakikisha taifa letu linapambana na uharifu, kujenga shule hospital na ajira za jeshi la polisi.

Nawakilisha kuwa Mbowe sio kama hayati Mtikila.
Kamjadili meco kwa pilato
 
Mbowe ni pebari amabaye yeye anajali tumbo lake na biashara zake.

Kwamba ametiwa mikononi mwa wazee hilo tuliachie polisi na mahakama...
Mbowe ni mwizi na jambazi sugu, Mwisho wake umefika na yeye anajua hilo
 
Mbowe ni pebari amabaye yeye anajali tumbo lake na biashara zake.

Kwamba ametiwa mikononi mwa wazee hilo tuliachie polisi na mahakama....
tujadili ajira za jeshi la polisi. nikuambie yu hili halikuhusu. wataajiri wanapotaka wanavyopenda wao. havidiliwi. waachie polisi wenyewe
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Mbowe ni pebari amabaye yeye anajali tumbo lake na biashara zake.

Kwamba ametiwa mikononi mwa wazee hilo tuliachie polisi na mahakama.

Sisi tufikirie namna ya kuhakikisha taifa letu linapambana na uharifu, kujenga shule hospital na ajira za jeshi la polisi.

Nawakilisha kuwa Mbowe sio kama hayati Mtikila.
Kaolewe
 
Tuhuma za ugaidi anazotuhumiwa nazo Freeman Mbowe hazina uhusiano wowote na chama chake cha CHADEMA lakini Viongozi wa CHADEMA wameifanya kesi hiyo ni kama vile ina mahusiano na utendaji wa shughuli za kila siku za chama jambo ambalo ni hatari endapo Freeman atatiwa hatiani na mahakama.

Tunakumbushana tu, siasa siyo uadui.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Kwa CCM hii siasa ni uadui tena wa juu sn
 
Back
Top Bottom