IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

Mkuu hili jambo linahitaji umakini mkubwa ukienda kwa pupa utaishia kuilamu serkali kuna mambo mengi yamejificha nyuma ya pazia
Dunia bwana etii dereva amefichwa Yani kabisa unataka kuamini serekali iki mtaka dereva kumuhoji inashindwa kisa amefichwa wakati mwingine tuwe serious na nchi yetu tuachee kuonge vitu vya wazi kwa uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
😩😩SACOS how about CUF, ACT-Wazalendo, TLP, NCcR? Hao nao ni SACOS?
 
Back
Top Bottom