IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

Hakuna kinachoshindikana Kama kaweza kumficha dereva atashindwa kung'oa hizo CCTV
Narudia Tena, hujui lolote nyamaza hutachekwa! Kama kweli mahusiano yenu na nchi nyingine yaani diplomasia ni nzuri mnashindwaje kutumia Interpol kumkamata? Huoni unaiacha nchi yako uchi kwa kuandika usiyoyajua? Epuka spoon feeding information badala yake ishughulishe akili yako!
 
CCM ya Magufuli wanamuogopa sana LISSU. Kwa mkwala huu ndio LISSU aogope kurudi ili rais anaependwa afanye Uchaguzi huru na haki peke yake😃😃😃
MATAGA nawahurumia sana CCM ILISHAJIFIA kazi mnayo..

#LISSURAIS2020
 
Narudia Tena, hujui lolote nyamaza hutachekwa! Kama kweli mahusiano yenu na nchi nyingine yaani diplomasia ni nzuri mnashindwaje kutumia Interpol kumkamata? Huoni unaiacha nchi yako uchi kwa kuandika usiyoyajua? Epuka spoon feeding information badala yake ishughulishe akili yako!
Ndio ujiulize Kama kweli serikali ilitaka kumuuwa wasingemkosa mwenye lile tukio na wangemuuwa popote alipo hata angekimbilia sayari ya Mars, serikali ina mkono mrefu ikikutaka haikukosi,sio mbowe amejaribu kumpoteza lisu kijinga mpaka kanusurika
 
Mawazo, Azory, Ben Saanane, Lwejabe, Ney, Roma, Nondo, Mo, Mbowe, vipi Mangula?na wengine wote wanasubiriwa watoke wapi ili upelelezi wa kesi zao uweze kukamilika.

kila mtu akipatwa na janga mnakuja na propaganda sasa hizo propaganda kwanini uwa hazifanyiwi kazi baada ya press?

Sawa Lissu mnamsubiri vipi kesi za wengine ambao wapo bongo? siro lazima uelewe kwanza unaongoza kizazi cha namna gani ni tofauti na kizazi chenu sisi tutahoji mpaka uvunguni mwa kitanda.

Mara Ben alipotezwa na Mbowe kwanini mbowe asifunguliwe mashitaka? Mara Lissu alishambuliwa na chama kwanin CCTV na walinzi watolewa eneo la tukio wakati ni walinzi wa serikali?

Siro acha kutumika kisiasa wanasiasa wanapita Tanzania itabaki.
Wajinga kweli! Yani chadema ndo wawasaidie ccm kumuuwa kwa usaliti?
 
Mkuu lile shambulio lina utata
Hujiulizi Kwanini dereva hakuumia?
Wewe hujiulizi kwa nini CCTV camera na video ziling'olewa na kufichwa? Mbona upelelezi wa Mbowe wamefikia conclusion bila ya kumuhoji Mbowe? Inakuwaje kwamba lazima wampate Lissu au dereva wakati CCTV wanazo wao? By the way Lissu si aliwapa ushahidi kamili wa watu wanaomfata kabla hata hajashambuliwa? Hawa wapelelezi watakuwa labda wanataka ushahidi wa Kinyamwezi!
 
Umemsahau "AKWILINA" ambae mwaka huu ndoto zake zingetimia zaku "GRADUATE" chuo kikuu, akitabasamu kwa bashasha huku akiwa amezungukwa na ndugu, jamaa na marafiki. Kisha angetafuta ajira ili awasaidie na kuwakomboa wazazi wake ambao ni masikini.

Kuna watu mungu amewajaalia "UPOFU" wa tamaa ya madaraka na vyeo.
Kwa hali hii mimi hata nikisikia kuna kikundi cha kigaidi kuja kuwamaliza wasiojulikana naweza niwachangie pesa.
 
Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
Yaani huwez kuchangia uz wowote bila kumtaja mboe? Umesoma kilichoandikwa kwenye slid au mekimbilia kukoment tu? Upo timamu kweli?
 
Mawazo, Azory, Ben Saanane, Lwejabe, Ney, Roma, Nondo, Mo, Mbowe, vipi Mangula?na wengine wote wanasubiriwa watoke wapi ili upelelezi wa kesi zao uweze kukamilika.

kila mtu akipatwa na janga mnakuja na propaganda sasa hizo propaganda kwanini uwa hazifanyiwi kazi baada ya press?

Sawa Lissu mnamsubiri vipi kesi za wengine ambao wapo bongo? siro lazima uelewe kwanza unaongoza kizazi cha namna gani ni tofauti na kizazi chenu sisi tutahoji mpaka uvunguni mwa kitanda.

Mara Ben alipotezwa na Mbowe kwanini mbowe asifunguliwe mashitaka? Mara Lissu alishambuliwa na chama kwanin CCTV na walinzi watolewa eneo la tukio wakati ni walinzi wa serikali?

Siro acha kutumika kisiasa wanasiasa wanapita Tanzania itabaki.

Natoa tu tahathari mkimkamata Tundu Lissu siku akirudi patachimbika tutaingia barabarani na tutakuwa hatuna cha kupoteza heri kufa umesimama.
Sirro anajidhalilisha kwa mara ya pili , Mara ya kwanza kujidhalilisha ilikuwa ni kwenye sakata la kutekwa Mo , ambapo aliokota gari lililopigwa jeki kutoka kutoka Yadi ya magari ya Msumbiji na kuja kudanganya umma , hata hivyo alishitukiwa na wadau
 
Tumefika hapa. Kutokana na aina ya wanasiasa tulio nao
Mkuu wanasiasa tunawaonea hasa hawa viongozi ambao kutwa kucha wanatembelea na kukaa rumande je umeshawahi kujiuliza tumewasaidiaje ktk mapambano??

Au ndo tunasubiri kuwa watoe kauli tuibgie barabarani??ili wapewe kesi za uhaini??????

Sema tumefika hapa kwa juhudi zetu wenyewe kwa kujifanya kuyapenda maisha yetu ilhali ni ya kimasikini yaliyokithiri na kutojali kabisa mustakabali wa nchi yetu na vizazi vyetu
 
Umemsahau "AKWILINA" ambae mwaka huu ndoto zake zingetimia zaku "GRADUATE" chuo kikuu, akitabasamu kwa bashasha huku akiwa amezungukwa na ndugu, jamaa na marafiki. Kisha angetafuta ajira ili awasaidie na kuwakomboa wazazi wake ambao ni masikini.

Kuna watu mungu amewajaalia "UPOFU" wa tamaa ya madaraka na vyeo.
Imeniumiza kwa kweli [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
 
Mawazo, Azory, Ben Saanane, Lwejabe, Ney, Roma, Nondo, Mo, Mbowe, vipi Mangula?na wengine wote wanasubiriwa watoke wapi ili upelelezi wa kesi zao uweze kukamilika.

kila mtu akipatwa na janga mnakuja na propaganda sasa hizo propaganda kwanini uwa hazifanyiwi kazi baada ya press?

Sawa Lissu mnamsubiri vipi kesi za wengine ambao wapo bongo? siro lazima uelewe kwanza unaongoza kizazi cha namna gani ni tofauti na kizazi chenu sisi tutahoji mpaka uvunguni mwa kitanda.

Mara Ben alipotezwa na Mbowe kwanini mbowe asifunguliwe mashitaka? Mara Lissu alishambuliwa na chama kwanin CCTV na walinzi watolewa eneo la tukio wakati ni walinzi wa serikali?

Siro acha kutumika kisiasa wanasiasa wanapita Tanzania itabaki.

Natoa tu tahathari mkimkamata Tundu Lissu siku akirudi patachimbika tutaingia barabarani na tutakuwa hatuna cha kupoteza heri kufa umesimama.
Serikali ama inatest mihemko au inawadharau watanzania na mwisho eidha inataka liwalo na liwe ila viongozi wa dini umma unasoma haya yote na wale mnaowaombea madhabahuni wanaonekana.
 
Back
Top Bottom