GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,914
- 10,585
Huyu mzee nae kazidi kunywa mapombe!Mastermind wa game lote View attachment 1487160
Picha zote yuko kwenye vilabu anabugia makonyagi.
Huyu mzee nae kazidi kunywa mapombe!Mastermind wa game lote View attachment 1487160
Duuh! We hauogopi kuwakosoa MATAGA?Wenzio wanaenda vyuoni wanaondoka na maarifa. Wewe uliambulia 'oops' tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa ushahidiLissu ni mhaini, Hapaswi kuachwa huru.
Wewe lisu alicutombea mama yako sio bure.Umeongea kweli tupu
Yote uliyosema yana maana, ila paragraph ya mwisho ni uongo hilo la kuingia barabarani na kuchimbika ni uongo - kati yenu hakuna mwenye ubavu huo! On the keyboard yes, lakini physically hamuwezi. Waoga sana na wanafikiMawazo, Azory, Ben Saanane, Lwejabe, Ney, Roma, Nondo, Mo, Mbowe, vipi Mangula?na wengine wote wanasubiriwa watoke wapi ili upelelezi wa kesi zao uweze kukamilika.
kila mtu akipatwa na janga mnakuja na propaganda sasa hizo propaganda kwanini uwa hazifanyiwi kazi baada ya press?
Sawa Lissu mnamsubiri vipi kesi za wengine ambao wapo bongo? siro lazima uelewe kwanza unaongoza kizazi cha namna gani ni tofauti na kizazi chenu sisi tutahoji mpaka uvunguni mwa kitanda.
Mara Ben alipotezwa na Mbowe kwanini mbowe asifunguliwe mashitaka? Mara Lissu alishambuliwa na chama kwanin CCTV na walinzi watolewa eneo la tukio wakati ni walinzi wa serikali?
Siro acha kutumika kisiasa wanasiasa wanapita Tanzania itabaki.
Natoa tu tahathari mkimkamata Tundu Lissu siku akirudi patachimbika tutaingia barabarani na tutakuwa hatuna cha kupoteza heri kufa umesimama.
Ini utawashitaki? Au unajisemea kimoyo moyo?Hawa lazima tuwashitaki na kama Corona itawachukua basi familia zao tutazifilisi! Wajue hilo hata kama itakuwa ni vitukuu vyao
Duh...!.Natoa tu tahathari mkimkamata Tundu Lissu siku akirudi patachimbika tutaingia barabarani na tutakuwa hatuna cha kupoteza heri kufa umesimama.
Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi! Je, anahusika?Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Kweli konyagi haijawahi kumuacha mtu salama,tutaingia barabarani na tutakuwa hatuna cha kupoteza heri kufa umesimama.
Ni sawa kabisa, kutoa tuhuma bila ushahidi ni kosa kubwa sana, kisa upate huruma, pesa toka kwa wahisani na kujulikana...Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Hata paka na mbwa ni waoga sana, jaribu siku moja umfungie paka chumbani halafu uanze kumchapa bakora huku akiwa hana namna ya kuokoa maisha yake.Yote uliyosema yana maana, ila paragraph ya mwisho ni uongo hilo la kuingia barabarani na kuchimbika ni uongo - kati yenu hakuna mwenye ubavu huo! On the keyboard yes, lakini physically hamuwezi. Waoga sana na wanafiki
Upuuzi mtupu, mtaingia barabarani wewe na nani? kukamatwa lazima akamatwe,mahakama pia inamsubiri kwa kuruka dhamana, asikamatwe yeye nani?Mawazo, Azory, Ben Saanane, Lwejabe, Ney, Roma, Nondo, Mo, Mbowe, vipi Mangula?na wengine wote wanasubiriwa watoke wapi ili upelelezi wa kesi zao uweze kukamilika.