IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

ZERO ni muhuni anayetumiwa na dikteta kufanya uhuni wao wa kung’ang’ania madarakani.

https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2019/02/1994639_Instagram_media_-_Bt2Krycj3b7.jpg

Mawazo, Azory, Ben Saanane, Lwejabe, Ney, Roma, Nondo, Mo, Mbowe, vipi Mangula?na wengine wote wanasubiriwa watoke wapi ili upelelezi wa kesi zao uweze kukamilika.

kila mtu akipatwa na janga mnakuja na propaganda sasa hizo propaganda kwanini uwa hazifanyiwi kazi baada ya press?

Sawa Lissu mnamsubiri vipi kesi za wengine ambao wapo bongo? siro lazima uelewe kwanza unaongoza kizazi cha namna gani ni tofauti na kizazi chenu sisi tutahoji mpaka uvunguni mwa kitanda.

Mara Ben alipotezwa na Mbowe kwanini mbowe asifunguliwe mashitaka? Mara Lissu alishambuliwa na chama kwanin CCTV na walinzi watolewa eneo la tukio wakati ni walinzi wa serikali?

Siro acha kutumika kisiasa wanasiasa wanapita Tanzania itabaki.

Natoa tu tahathari mkimkamata Tundu Lissu siku akirudi patachimbika tutaingia barabarani na tutakuwa hatuna cha kupoteza heri kufa umesimama.
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Lisu anaogopwa sana na CCM
 
Tulia dogo mengine yanamalizwa kisiasa

Usivyo na akili unasema ishu ya Lissu kwanini Mbowe hajakamatwa

Halafu unasahau unasema Lissu akikamatwa patachimbika

Hebu fungua akili kidogo mpuuzi wewe
 
Hawa jamaa wanasaidia ccm Ila ikumbuke INA mwisho wake Ila tutapambana nao na uchaguzi tutatembea na mawe mfukoni wakizingua tu unampiga moja LA kichwa kisha unauchuna mbona watajirekebisha bila hivi watatuonea sana
 
Ni hatua muhimu kuelekea kuhitimisha jambo hili.
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Atarudi 2026
Au hivyo vyeo mlizaliwa navyo?
 
Kwa hyo majambazi wakikufwata wewe nyumbani kwako wakakupga risasi..ni lazma na hausboy wako apgwe risasi?na kama hakupgwa maana yake utakua umejivamia na kujipga mwenyewe?akili za wapi hizi?
Mkuu lile shambulio lina utata hujiulizi kwanini dereva wake hakushambuliwa?

Na kwanini dereva wamemficha?
Na kwanini dereva alimpeleka lissu kushambuliwa?
 
Mbowe dereva wake alikabwa kwa ajili ya kuhojiwa akajifanya bubu akachangamshwa hadi akaongea ukweli
Wewe hujiulizi kwa nini CCTV camera na video ziling'olewa na kufichwa? Mbona upelelezi wa Mbowe wamefikia conclusion bila ya kumuhoji Mbowe? Inakuwaje kwamba lazima wampate Lissu au dereva wakati CCTV wanazo wao? By the way Lissu si aliwapa ushahidi kamili wa watu wanaomfata kabla hata hajashambuliwa? Hawa wapelelezi watakuwa labda wanataka ushahidi wa Kinyamwezi!
 
Tunahofu Inawezekana dereva walikula njama na wapinzani wa lissu kwenye chama au biashara zake

Back
Top Bottom