IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

Maendeleo aliyotuletea Magufuli haujawahi kutokea hata ulaya
Tanzania imebadilika
Maendeleo yapi? Pesa zake binafsi toka mfukoni? Pesa za walipa kodi lazima ilete maendeleo siyo ombi, maendeleo ni haki ya watanzania siyo Hisani ya CCM. Nchi ina zaidi ya miaka 50 haina maendeleo leo hii mnakuja na tuviendeleo kiduchu wenye ufisadi mwingi kampuni zenu zenye 10% kila kona mnataka watu waone ni maendeleo? Kwanza vitu vingi ni mwendelezo wa kikwete alivyokuwa kaviacha njiani.
 
Ccm kuna vilaza wa hatari
 
Swali Kwanini dereva wake hakuumia?
Mkuu swala la derava kutoumia ni hoja dhaifu maaana hata kwenye ajali kuna wanaokufa wanaojeruiwa na wengine hata mchubuko hawapati..swala la pili ni kua alie takiwa kuuliwa ni lisu sio dereva.
 
Kuhusu cctv sijui! Ila tujiulize kwanini Chadema wanamficha dereva asihojiwe ?
Kwanini uhangaike na ushahidi wa maneno wakati unao wa picha na video?

Dereva anaweza akadanganya,sasa kwa sababu mmekuwa mkisema Lissu kajipiga risasi mara Mbowe kahusika kwanini msirelease video footage au hamjui kuwa kwa Kalemani kulikuwa na CCTV na zilitolewa baada ya tukio?
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Nyie watu mnafikra finyu sana,
Yaani Mbowe aendeshe mkakati wa kufanya mauji,tena mchana kweupee,harafu ccm hii,ikose ushahidi wa kumfunga?
Ile kitu ilipangwa na state agency,ambao huyo IGP hawezi hata kuwasogorea,
Ukitaka kujua nini kilimpata Lisu,na kinachowapata wakosoaji wakubwa wa serikali,
Tafuta hii novel,"from Russia with blood"na nyingine iliyoandikwa na officer wa zamani wa KGB Oleg karugin,my 30years in intelligence service,
Uone Putin rais wa urusi anavyodeal na wote wanaompinga,ndani na nje ya nchi.
Mbowe anauwezo gani wa kupanga tukio,la mauaji,
Magari na watu wote aliwashirikisha wasionekane,
Kama mwanasiasa,tena asiye na mafunzo ya kijeshi anaweza kuendesha mkakati wa mauji,tena mchana kweupe,,na asikamatwe?basis nchi hii imeoza kabisa kiusalama
 
Mkuu swala la derava kutoumia ni hoja dhaifu maaana hata kwenye ajali kuna wanaokufa wanaojeruiwa na wengine hata mchubuko hawapati..swala la pili ni kua alie takiwa kuuliwa ni lisu sio dereva.
Mkuu; huyo kiongozi wa mazezeta ya Lumumba awezi kukuelewa kamwe.alitaka wote waumie na huku akijua lengo lao lilikuwa Kwa lisu siyo dereva
 
Wale inavyoonekana hawakupanga kumuua wakipanga kumjeruhi tu
Tena wale ni wahuni wa mtaani tu wanaojua kufyatua risasi
Jiulize kwanza kwanini LISU akufa na lengo lilikuwa mumuuwe lisu. Jibu rahisi dereva hakuwa lengo lenu.
 
Mkuu kuna mengi nyuma ya pazia tusiyoyajua acha tunyamaze tu
Nyie watu mnafikra finyu sana,
Yaani Mbowe aendeshe mkakati wa kufanya mauji,tena mchana kweupee,harafu ccm hii,ikose ushahidi wa kumfunga?
Ile kitu ilipangwa na state agency,ambao huyo IGP hawezi hata kuwasogorea,
Ukitaka kujua nini kilimpata Lisu,na kinachowapata wakosoaji wakubwa wa serikali,
Tafuta hii novel,"from Russia with blood"na nyingine iliyoandikwa na officer wa zamani wa KGB Oleg karugin,my 30years in intelligence service,
Uone Putin rais wa urusi anavyodeal na wote wanaompinga,ndani na nje ya nchi.
Mbowe anauwezo gani wa kupanga tukio,la mauaji,
Magari na watu wote aliwashirikisha wasionekane,
Kama mwanasiasa,tena asiye na mafunzo ya kijeshi anaweza kuendesha mkakati wa mauji,tena mchana kweupe,,na asikamatwe?basis nchi hii imeoza kabisa kiusalama
 
Kuna mda watu wanaotoa raman ni watu wako wa karib xnaa...inawezekana kahusika au lah..
Hizo fikra zipo CCM kwenye wenye upeo Mdogo lakini kumbuka magufuli alishasema watanzania siyo wajinga anajua ukweli.
 
Back
Top Bottom